Mganga na kuku jogoo

Mganga na kuku jogoo

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hi great thinkers hivi kwanini waganga hawaachi kuagiza Jogoo?Mimi nikiagizwa huwa sirudi.

Nawapenda wanaoagiza kuku halafu kuku namla mwenyewe wale waganga wanaomchukua kuku wanaudhi sana.

Ninge mtag Mshana Jr lakini siwezi kutag angefafanua vizuri japo naamini members wengine hawakosi comments welcome
 
Mara bata wako hawataki kupandwa, sijui ng'ombe wako wanakula mayai yao, hivi ni kwa sababu unakula mashudu..?!?[emoji15]
 
labda ungeanza kutiririka kwanini unapenda kwenda kwa waganga?
 
Kuna mganga kaniambia nimletee msichana mbichiii. Nikaenda kumwambia changu bosi wangu anakutaka ukalale nae. Sikuhizi naona ukurutu umemuandama hadi usoni.
 
Back
Top Bottom