UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi great thinkers hivi kwanini waganga hawaachi kuagiza Jogoo?Mimi nikiagizwa huwa sirudi.
Nawapenda wanaoagiza kuku halafu kuku namla mwenyewe wale waganga wanaomchukua kuku wanaudhi sana.
Ninge mtag Mshana Jr lakini siwezi kutag angefafanua vizuri japo naamini members wengine hawakosi comments welcome