chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kabake au kula Yas ndio utajua zina sheria zipo mahakamani na polisiHilo mimi sikulijua 😂 😂
Hebu tuelezee vizuri kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabake au kula Yas ndio utajua zina sheria zipo mahakamani na polisiHilo mimi sikulijua 😂 😂
Hebu tuelezee vizuri kiongozi
Huyu mzembeee! Amekosea miikooooo ya kazimakutupora unaona kinachowapata waganga wenzako?
Yes una point, hayo yote ni makosa ya jinai.Kabake au kula Yas ndio utajua zina sheria zipo mahakamani na polisi
We jitangaze tu, ukikamatwa sihusiki na nitakukana sikujui.Huyu mzembeee! Amekosea miikooooo ya kazi
Hizi kazi Zina wenyewe! Si unakumbuka juzi nilivyokuja na ungo kukutembelea
Nchi ya kwenda nayo taratibu hiiNchi ngumu sana hii
Nguvu yenu lazima waitambue, nyie ba kokaya fanyeni jambo nchi nzima itetemeke 😂 😂Kama ukoo tupo kujiandaa kukata rufaa
mjomba wangu haiwezekani aende jela kwa kosa dogo kama hilo
Ntunzu huku tunajipanga kwa mashambulizi kwa hakim na mahakama kwa ujumla!
Iiih, makuubwaa !mnaacha kufunga majizi na mafisadi mnahangaika na vidagaa
. . Kivipi Tena !HIVI UNAJUA HATA SEHEMU ZA SIRI ZETU NI NYARA ZA SERIKALI
kabake au kula yasAah
. . Kivipi Tena !
Ngoja tuone itakavyokua, ila serikali haiamini kwenye uchawi 🫠Mnafunga mganga wa kienyeji jela, akienda kugeuka kinyamkera huko jela si atawawasumbua askari jela na wafungwa, nani atamgusa mchawi huyo?
Nguvu yenu lazima waitambue, na nyie ba kokaya fanyeni jambo nchi nzima itetemeke
Ni kwa sababu tulirithi mfumo wa haki jinai wa kikoloni, ambao ulilenga kuwakomoa watawaliwa. Tulipopata uhuru watawala wapya wakafanya mageuzi kwenye mambo mengine yaliyowapa faida wao kiutawala, yale mabaya ya kikoloni yaliyosaidia kutawala kwa urahisi kama sheria mbovu na matumizi mabaya ya vyombo vya dola hayakupewa kipaumbele kufanyiwa mageuziHivi kwa nini sheria za Tanzania ni za uonevu sana. Yaani kufuga fisi miaka ishirini jela?
Hizi sheria lengo lake ni kufundisha au kukomoana?
Mbona kuna chama cha siasa pia kinafuga fisiNani anaikumbuka hii kesi ya yule mganga wa kienyeji aliyekamatwa na fisi? amehukumiwa leo.
View attachment 3267716
Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31), maarufu kama Chief wa Kilulu, kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali aina ya fisi akiwa hai na akiishi naye nyumbani kwake.
Mshtakiwa huyo, ambaye ni mkazi wa kijiji cha Kilulu kilichopo kata ya Bunhamala, wilayani Bariadi, na mganga wa kienyeji, alipewa adhabu hiyo katika kesi namba 2458/2025 iliyokuwa ikimkabili kwenye mahakama hiyo.
Awali, akisoma kosa la mshtakiwa, Mwendesha Mashtaka kutoka Ofisi ya Mashtaka Mkoa, Lupiana Mahenge, alieleza mahakama kuwa mtuhumiwa huyo alikutwa na nyara ya serikali, fisi akiwa hai, akimfuga nyumbani kwake kinyume cha sheria.
Mtuhumiwa aliishi na fisi huyo kama mnyama wa kufuga kinyume na kifungu cha 86 (1) na kifungu kidogo cha (2)(C)(III) cha Sheria ya Kuhifadhi Wanyamapori sura ya 283, kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022.
Mtuhumiwa alipopewa nafasi ya kujitetea aliomba mahakama imsamehe kwa kuwa anategemewa na familia ya watoto wanne, wakiwemo mapacha, ndipo hakimu akatoa adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela na viboko 12 ili iwe fundisho kwake na kwa watu wengine.