Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
AiseeBaadhi ya matapeli na waganga wa jadi ni watu wenye IQ ya hali ya juu sana.. Wakishausoma mchezo mzima ni rahisi kumpanga mtu akapangika
Kwa mfano kama jamaa alitaka kumtapeli mganga milion 5 alihakikisha anatumia laki 5 mpaka milion kumuweka sawa mganga
Nitaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mganga haogopwi hapo?
Malizia tupate somo kamili mkuu