Mganga wa Simba kachukua Pesa nyingi

Mganga wa Simba kachukua Pesa nyingi

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,467
Reaction score
3,687
“Waliokuwepo uwanja wa Mkapa na ambao tulitazama katika televisheni tumeendelea kuamini mpira ni mchezo wa maajabu.

Inawezekana hakuna mtu ambaye amechukua pesa nyingi wiki hii kama ‘mganga wa Simba’. Ilikuaje Al Ahly wakawa wanakosa mabao yale? Inashangaza.

Mganga lazima amejisifu. Mpaka mapumziko Simba ilikuwa wawe nyuma kwa mabao manne. Kwenda mapumziko wakiwa wamefungwa bao moja ni jambo la kushangaza kidogo. Wangeweza kufungwa mabao mengi zaidi. Na haikuwa kwa sababu ya kipa Ally Salim.

Al Ahly walikuwa wanakosa mabao wao wenyewe. Bila ya sababu zozote za msingi. Ingekuwa nafasi zile wanakosa wachezaji wa Simba tungejisemea “pale Al Ahly hawakukosi”. Lakini hapa Al Ahly wenyewe ndio walikuwa wanakosa.” - Edo Kumwembe.

20231023_151518.jpg
 
View attachment 2790262
Bado mnaugulia maumivu mbwa nyie
 
NIMEIMBA NA SIMBA HILI SUALA TANGU MWEZI WA KWANZA..

VIONGOZI, BENCHI LA UFUNDI HAWAKUNISIKIA WALA KUNIELEWA

“Waliokuwepo uwanja wa Mkapa na ambao tulitazama katika televisheni tumeendelea kuamini mpira ni mchezo wa maajabu.

Inawezekana hakuna mtu ambaye amechukua pesa nyingi wiki hii kama ‘mganga wa Simba’. Ilikuaje Al Ahly wakawa wanakosa mabao yale? Inashangaza.

Mganga lazima amejisifu. Mpaka mapumziko Simba ilikuwa wawe nyuma kwa mabao manne. Kwenda mapumziko wakiwa wamefungwa bao moja ni jambo la kushangaza kidogo. Wangeweza kufungwa mabao mengi zaidi. Na haikuwa kwa sababu ya kipa Ally Salim.

Al Ahly walikuwa wanakosa mabao wao wenyewe. Bila ya sababu zozote za msingi. Ingekuwa nafasi zile wanakosa wachezaji wa Simba tungejisemea “pale Al Ahly hawakukosi”. Lakini hapa Al Ahly wenyewe ndio walikuwa wanakosa.” - Edo Kumwembe.

View attachment 2790262
huo ni mpira japo kweli mganga wa simba atajigamba yeye
 
Kwa tunaoelewa mambo hii mechi ilishachezwa kabla ya hapo. Al Ahly hawakutaka kuiharibia Simba hivyo urafiki zaidi ulitumika.
 
Back
Top Bottom