Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
“Waliokuwepo uwanja wa Mkapa na ambao tulitazama katika televisheni tumeendelea kuamini mpira ni mchezo wa maajabu.
Inawezekana hakuna mtu ambaye amechukua pesa nyingi wiki hii kama ‘mganga wa Simba’. Ilikuaje Al Ahly wakawa wanakosa mabao yale? Inashangaza.
Mganga lazima amejisifu. Mpaka mapumziko Simba ilikuwa wawe nyuma kwa mabao manne. Kwenda mapumziko wakiwa wamefungwa bao moja ni jambo la kushangaza kidogo. Wangeweza kufungwa mabao mengi zaidi. Na haikuwa kwa sababu ya kipa Ally Salim.
Al Ahly walikuwa wanakosa mabao wao wenyewe. Bila ya sababu zozote za msingi. Ingekuwa nafasi zile wanakosa wachezaji wa Simba tungejisemea “pale Al Ahly hawakukosi”. Lakini hapa Al Ahly wenyewe ndio walikuwa wanakosa.” - Edo Kumwembe.