Mgao ujao wa umeme…

Tatizo la kukata umeme kwa jina la huo mgao kwani limeanza awamu gani ?

Kwa kumbukumbu zangu umeme umewahi kuwepo mgao around 2006 & 2007 hata kipindi cha nyuma kabla ya hapo.
 
Hapa najiandaa kisaikolojia ngoja ninunue pc nyingine tu. Zikinipa masaa 6 ya kaz kwa siku sio mbaya
 
Hata kama una akili ndogo kweli unafikiri kabisa hii mitambo inaweza kuendeshwa bila kufanyiwa mantainance kwa miaka sita? Unafikiri mantainance mpaka umeme ukatike?
 
Tatizo la kukata umeme kwa jina la huo mgao kwani limeanza awamu gani ?

Kwa kumbukumbu zangu umeme umewahi kuwepo mgao around 2006 & 2007 hata kipindi cha nyuma kabla ya hapo.
Basi utakuwa dogo sana wewe.

Mgao wa umeme upo tokea utawala wa Mwinyi.
 
Hata kama una akili ndogo kweli unafikiri kabisa hii mitambo inaweza kuendeshwa bila kufanyiwa mantainance kwa miaka sita? Unafikiri mantainance mpaka umeme ukatike?
Mkumbushe kuwa muda hata ujapita walituhaadi wanafanya matengenezo inakuaje Tena leo hii tunapewa sababu ile ile hayo matengenezo waliofanya mwanzo yalikuaje?
 
Inatafutwa timing ya kuingia mikataba na makampuni ya kuzalisha umeme wa jua na upepo ili tulipe tena mabilioni ya capacity charge .

Umesikia wanazungumzia tena Stuglers gorge ys Rufiji?

Ni mwendo wa mikataba na makampuni ya nje ya umeme na gesi.
 
Majenereta wanayoingiza bandarini yatauzwaje?
Watu wanatangaziwa mgao Ili wajihami na jenereta
 
Kabisa yaani,
Dhalimu ameondoka hali sasa ni shwari,,watu walikenua sana yaani nchi imeponywa.
Watu wanaishi kwa raha sasa hivi hakuna kutekana wala mauwaji yaani nchi ina raha kero zote zimeondoshwa yaaani teh teh.
 
Watu wanaishi kwa raha sasa hivi hakuna kutekana wala mauwaji yaani nchi ina raha kero zote zimeondoshwa yaaani teh teh.
Ewaaa sasahivi wapo nchi ya maziwa na asali.
 
Reactions: nao
Ukisikiliza hotuba ya mama samia tanga siku moja kabla ya kutangazwa kifo cha magufuli aliongea kwa kujiamini mwisho wa kukatika umeme umefika lakini sasa anatangaza mgao huku akijifanya anavutia wawekezaji
 
Kwani taarifa ya Tanesco inasema ni matengenezo ya mitambo au bomba la gas? Rejea taarifa ya Tanesco then tuendelee kujadili.
 
From day one, nilipoona January anapewa hii wizara, nikajua 100% tumepigwa mnada kuhusu umeme. Mungu tusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…