Nawakiulizwa walete ushahidi hawanaUtaskia ooh watu walipotezwa kwenye viroba mara Ben sanane sijui Azory! Huo ndio utetezi wa vyeti feki anti-Magu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawakiulizwa walete ushahidi hawanaUtaskia ooh watu walipotezwa kwenye viroba mara Ben sanane sijui Azory! Huo ndio utetezi wa vyeti feki anti-Magu
Eti mgao kisa wanafanyia ukarabati mitambo!
Hii haikubaliki kabisa.
Nafikiri kwa muda mrefu Tanesco wamekuwa wakiendesha hiyo mitambo bila periodic maintenance kwa kuhofia kuonekana saboteurs baada ya serikali kuahidi hamna mgao. Now the chickens have come home to roost maana wakizidi kuiendesha ita collapse kabisa. Hawana jinsi bali wafanye the long over due maintenance.
Amandla...
Basi utakuwa dogo sana wewe.Tatizo la kukata umeme kwa jina la huo mgao kwani limeanza awamu gani ?
Kwa kumbukumbu zangu umeme umewahi kuwepo mgao around 2006 & 2007 hata kipindi cha nyuma kabla ya hapo.
Mkumbushe kuwa muda hata ujapita walituhaadi wanafanya matengenezo inakuaje Tena leo hii tunapewa sababu ile ile hayo matengenezo waliofanya mwanzo yalikuaje?Hata kama una akili ndogo kweli unafikiri kabisa hii mitambo inaweza kuendeshwa bila kufanyiwa mantainance kwa miaka sita? Unafikiri mantainance mpaka umeme ukatike?
Acha nchi ipumue buana..🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
We jamaa bwana[emoji1787]
We can't fight them, let's join them. Hakuna namna.Kwa wezi na mafisadi wainjoy
Inatafutwa timing ya kuingia mikataba na makampuni ya kuzalisha umeme wa jua na upepo ili tulipe tena mabilioni ya capacity charge .Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
NB: Halafu nani anaamini huu mgao utakuwa ni wa siku 10 tu????? Mimi siamini….
Watu wanaishi kwa raha sasa hivi hakuna kutekana wala mauwaji yaani nchi ina raha kero zote zimeondoshwa yaaani teh teh.Kabisa yaani,
Dhalimu ameondoka hali sasa ni shwari,,watu walikenua sana yaani nchi imeponywa.
Ewaaa sasahivi wapo nchi ya maziwa na asali.Watu wanaishi kwa raha sasa hivi hakuna kutekana wala mauwaji yaani nchi ina raha kero zote zimeondoshwa yaaani teh teh.
They are all full of it….Ukisikiliza hotuba ya mama samia tanga siku moja kabla ya kutangazwa kifo cha magufuli aliongea kwa kujiamini mwisho wa kukatika umeme umefika lakini sasa anatangaza mgao huku akijifanya anavutia wawekezaji
Acha bado anajiramba keki yake samia[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2098632
Syo anaupiga mwingi ha haSafi sana!
Mama anafungua nchi!
Tuliaonewa sana kwa miaka 5!
Tunapumua!
Kwani taarifa ya Tanesco inasema ni matengenezo ya mitambo au bomba la gas? Rejea taarifa ya Tanesco then tuendelee kujadili.Hiyo mitambo haikufanyiwa marekebisho kwa muda mrefu sababu wahusika waliogopa kutumbuliwa (hili waziri alishasema)
Sababu za mgao ni kufanya ukarabati na bila kufanya huo ukarabati kipindi hiki huenda hata huo umeme wa mgao usiwepo.....hivyo Watanzania ondoeni wasiwasi kwani hayo matengenezo ni muhimu kipindi hiki.