mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Hatari sana, duh! ??From day one, nilipoona January anapewa hii wizara, nikajua 100% tumepigwa mnada kuhusu umeme. Mungu tusaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana, duh! ??From day one, nilipoona January anapewa hii wizara, nikajua 100% tumepigwa mnada kuhusu umeme. Mungu tusaidie.
Hama Nchi Kama vipi, unataka TANESCO wasifanye maintenance ya mitambo ya umeme? Hata hiyo gari Kuna muda unaisimamisha kazi unaifanyia service!Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
NB: Halafu nani anaamini huu mgao utakuwa ni wa siku 10 tu????? Mimi siamini….
Hamia Chatttle hakuna mgaoSafi sana!
Mama anafungua nchi!
Tuliaonewa sana kwa miaka 5!
Tunapumua!
sawaHiyo mitambo haikufanyiwa marekebisho kwa muda mrefu sababu wahusika waliogopa kutumbuliwa (hili waziri alishasema)
Sababu za mgao ni kufanya ukarabati na bila kufanya huo ukarabati kipindi hiki huenda hata huo umeme wa mgao usiwepo.....hivyo Watanzania ondoeni wasiwasi kwani hayo matengenezo ni muhimu kipindi hiki.
Poleni wajane wa diktetaMaza anaupiga mwingi…
mmmh kwahiyo nchi zingine huwa wao wajinga wapokuwaga na backup wakati wa matengenezo?Nafikiri kwa muda mrefu Tanesco wamekuwa wakiendesha hiyo mitambo bila periodic maintenance kwa kuhofia kuonekana saboteurs baada ya serikali kuahidi hamna mgao. Now the chickens have come home to roost maana wakizidi kuiendesha ita collapse kabisa. Hawana jinsi bali wafanye the long over due maintenance.
Amandla...
Watumiaji wakiwa wachache na Tanesco inapata mapato kidogo, lakini watumiaji wakiongezeka wakawa wengi na Tanesco wanapata mapato makubwa zaidi na zaidi !! Kwahiyo hiyo kuongezeka kwa watumiaji sio justification ya umeme kuzidiwa Bali ni kutowajibika kwa wanaohusika kwa sababu wanazozijua wao !! Labda mifuko ya sandarusi !!"Ilikuwepo japo na watumiaji walikuwa wachache..
Wacha kumsingizia, kama alikuwa anahamahama utotoni na kusoma shule kumi kwa miaka 7 unategemea nini? Yupo njiani kuwa raisi wa nchi nyingine ya kusadikika wakati wowote.Hajui afanye nini!
Kwa hiyo huko kwenu wakikata umeme na huku tunaiga? Ujinga ni mzigo. Tutaendelea kukumbuka kwa mema RIP JPM.Soma hapa ni uk
Live List of Power Cuts in London, East Anglia & South East England | UK Power Networks
www.ukpowernetworks.co.uk
Na hii ni us
![]()
United States Power Outage Map
poweroutage.us
Kufanyia ukarabati mitambo au sijui mabomba ya gesi or whatever, bila kuleta mgao, inawezekana kabisa.Kitu chochote ili kimudu kinahitaji regular service/maintenance. Na unatakiwa uwe na source nyingine ya umeme. Kwa wenzetu wanafanya service inspotakiwa, na wakati mitambo inapofanyiwa service wananunua mahitaji yao kwa wenye surplus. Tungekuwa tumeunganisha na wa msumbiji au Zambia au Kenya wakati huu ndio tungenunua kutoka kwao.
Mimi siwaelewi watu wanaoshangaa. Mara ngapi tunaambiwa kuns sehemu hazitapata maji wiki nzima kwa sababu tunafanya service mitambo ya Ruvu Juu au Chini! Huko ulikoishi uliwahi kusikia metropolis kama Dar ina kosa maji wiki nzima kwa sababu yeyote?
Hatupaki majumba yetu, tunashindwa kufanyiq service vyo vya maofisini, madirisha yakivunjika hatuweki maji, paa zinavuja, mitaro hatuzibui mpaka mvua ifike, magari ya serikali yanashindwa kubadilisha matairi , barabara kila kukicha tunajenga upya kwa sababu tulishindwa kuziba potholes, halafu tunajifanya kushangaa kwamba Tanesco walikuwa wanaburuza mitambo bila kuifanyia service! Sisi kweli watu wa ajabu.
Amandla....
Siyo wa kumsikiliza lakini ndiyo ameshatoa maamuzi hayo and there is nothing we can doKwan MaEngineer wa tanesco wao wanasemaje.?
Maharage ni muhuni Tu sio wakumsikiliza
Kwanza hata kabla tu yakutangaza kutakuwa na mgawo umeme ulikuwa unakatika na hapo kumbuka wametoka kufanya wanayoita matengenezo na hapo tunajiuliza hayo matengenezo waliofanya ni yapi ikiwa still umeme unakatika Mara Jana wanatoa taarifa yakutangaza kutakuwa na mgawo kwasababu ile ile waliohitaja wananchi Wana doubt hata wakifanya hayo matengenezo kuna uhakika gani umeme hautakatika? Ikiwa mwanzo pia walisema hivyo hivyo na umeme ukawa unakatika Hili ndio swali walitakiwa watujibuWe are stupid.
Kufanyia ukarabati mitambo au sijui mabomba ya gesi or whatever, bila kuleta mgao, inawezekana kabisa.
Ni upumbavu wetu tu.
Hata sielewi maana kabla ya hapo hili zoezi lilikuwa limekwishaanza kuna maeneo umeme ulikuwa ukikatika na jibu likawa ni kwa sababu ya matengenezo.Na kwanini hilo zoezi liwe la nchi nzima?
Wanatengeneza mazingira ya kupiga hela maana walianz na sababu za ukame tukawa na mgao na ss wamekuja na sababu zingine CCm ni janga la kitaifaInadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.