Mgao ujao wa umeme…

Mgao ujao wa umeme…

Wacha tunyooshwe kwani tunauwezo wa kupinga lolote? Watanzania ni watu wa ajabu sana sijawahi ona, kila jambo linalotokea limepangwa na lazima liwe hivyo kwasababu hata LENDER OF THE LAST RESORT tuliotegemea wakemee upuuzi wa kugawana keki ya nchi kwa familia zao tuu ndo hao wametulia.

Wacha tunyooshwe maana hata yule alietuonesha njia tulimchukia na kumuona hafai, leo tunasimama neutral pale mwenye nguvu anapomkanyaga mnyonge!

But all in all, mwenyezi Mungu(SW) aliyeruhusu haya ndiye atakaye yamaliza kama tu tutaweka jitahada kukataa dhulma, chuki, na mambo yote yafananayo na hayo. Tanzania na siasa zake ni MICHONGO tu no strategies to move on.

TIME HEALS ALL WOUNDS kataa wahuni

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kila hitilafu ikitokea inakuwa oh...fulani angekewepo isingetokea!!
Hata mashine zinachoka na kuhitaji ukarabati...
"Mpaka mvua ikichelewa kunyesha itasemwa kwa kuwa fulani hayupo.."
Tusubiri wahusika watujulishe sababu ya mgao na sio kuangalia nani yupo nani kaondoka...
Kivuli cha JPM ndio kipimo cha urais wa Samia. Marehemu aliwazoeza watu vibaya kwa kuwahakikishia ufanisi unaotokana na upendo hata kama ni kwa gharama za kutokuwa mkweli.

Wake ukawa ni uongozi unaofanana na mshumaa, unawawakia watu kwa gharama ya wenyewe kuteketea. JPM alikuwa ni POPULIST LEADER, Alisikiliza shida za wengi na akataka aonekane anao uwezo wa kutatua kila tatizo, kumbe utatuzi mwingine ukiambatana na ukweli ni bora zaidi kwa serikali yake na kwa mwananchi.
 
R.I.P JPM hii yote ni kufanya jambo kwa kumuwaza JPM asimgekufa ina maana kuna siku umeme ungekatika.

Hawa wanataka kubadili mfumo wa kupokea pesa hawataki pesa wazikose kama kipindi kileee saivi wapo serious kushirikilia kila sehemu vibaki kwa ajili ya vizazi na vizazi vyao .

hii nchi ni yetu sote sio ya watoto wa vigogo mbona nyerere hajatufanyia hivi ila wao wanataka kushika kila kitu huyu aridhi,huyu habari ili kuzuia na kuelekeza propaganda huyu mwingine anapiga msumali matrillioni yakae ndani mwao.
Mkuu hii nchi ni ya cheupe na genge lake la wahuni!
 
... walianz na sababu za ukame tukawa na mgao na ss wamekuja na sababu zingine CCm ni janga la kitaifa
Unaweza kuwa sahihi; lakini hawa waliompa fisadi toka ccm kuwa mgombea wao wa urais wanaweza kuwa hatari zaidi kuliko hawa ccm.
 
Hizi ni coment za mtu anaekula na kulala kwa shemeji alikoolewa dadake, hivyo hawezi kujua hasara inayotokanna na kukatwa katwa kwa umeme!
Unamuonea wivu sababu dada yako hajaolewa.
 
Mimi naikumbuka sana migao ya miaka ya 80 mwishoni na miaka ya 90!
Wasukuma mna DNA nyingi za ushamba

Wewe hujui baada ya miaka 3 kuna uchaguzi fedha za kampeni plus figisu zitatoka wapi Marope yuko pale kimkakati kama alivyokuwa kwenye timu ya msoga wakati wa uchaguzi ndivyo hivyo atakuwa kwa chief hangaya

By the way mgao tulishauzoea hili ndio chimbo la kupigia la msoga hadi akamuangushia jumba bovu nywele nyeupe

Wapi high USA
 
Wakati huyu maza anaingia ikulu wengi walipata tumaini kuwa anaenda kutatua changamoto za wananchi.
Ajabu Ni Raisi ambaye kwa muda mfupi ameharibu Mambo mengi Sana pia kaumiza wananchi wa kipato Cha chini Tena bila hata kuhofia.
Nilikosa Iman tu pale alipomtea Riz one kuwa naibu waziri ,yaan huyu mama mpaka kufikia 2025 hii nchi itakua imeoza balaaa.
Hatuna Raisi hapo zaidi Hilo Ni pambo ila wanaoongoza hii nchi wapo wametulia tuli.

Huyu mama muda mwingine awe anapita mitandaoni aone asivyokubalika ,pita mitaan ndio hatar hakuna anayemkubali huyu maza na Hilo ajue kuwa hakubaliki alichobaki nacho Ni dola tu ndio inamlinda ila 2025 akijaribu kuruhusu tume huru bila maelekezo anapigwa asubuh na mapema ,Ni bahat mbaya tu tz Rais hategemei kura za wananchi hivyo tuseme nguvu anayo japo kila lenye mwanzo na mwisho wake upo.

Mama Samia amka usingizini hii nchi imekushinda na unaipeleka kusikojulikana.
 
Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.

Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…

Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.

Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?

Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.

Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?

Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?

Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?

Tanesco….and whoever else involved….seriously????

NB: Halafu nani anaamini huu mgao utakuwa ni wa siku 10 tu????? Mimi siamini….
Kwanza usiseme ili jambo likikuwepo miaka yote, kuna kipindi halikuwepo labda kama ulikuwa huish Tanzania.
 
Ni lini halikuwepo?
Sikuwah kushuhudia mgao wa umeme kwa miaka mitano iliyopita kulikuw na kukatika kidogo hasa kama kunaservice inafanyika na ilikuw ni kwa muda mfupi na taarifa mnapewa sasa ule huwezi kuita mgao wa umeme.
 
Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.

Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…

Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.

Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?

Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.

Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?

Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?

Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?

Tanesco….and whoever else involved….seriously????

NB: Halafu nani anaamini huu mgao utakuwa ni wa siku 10 tu????? Mimi siamini….
Taifa la raia wajinga, wajinga ndiyo waliwao..

Imagine polisi wanaua raia mwema baada ya kumpora fedha na mali zake....Lakini IGP yupo ofisini anaendelea kula kwa urefu wa kamba yake, Rais ndo kwanza ana sherehe ya birthday na shoga zake, anapaka wanja

Na raia ndo kabisaaaa wapo hawana habari yan

WAJINGA NDO WALIWAO

TANESCO KATENI UMEME

KAZI IENDELEE
 
Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.

Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…

Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.

Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?

Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.

Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?

Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?

Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?

Tanesco….and whoever else involved….seriously????

NB: Halafu nani anaamini huu mgao utakuwa ni wa siku 10 tu????? Mimi siamini….
Urefu wa kamba
 
Kuna Muda Natamani hata nisingezaliwa Tanzania
Mkuu mimi namshukuru sana Mungu kuzaliwa hapa bongoland, maana kuna time stress zangu zinaisha kwa haya mascenerio yao.
Although nahisi kuna container zao za magenerator yao bado hayajaisha so lazima wazime umeme ili mnunue yote kama si baadhi.

Nchi ni full deal and yule jamaa real alikuwa mpingo asee, ahahahaa....
 
Rais juzi alienda Malawi ili kuona ni namna gani wao wanaweza wasikate umeme miaka yote? Nafikiria sio muda wataalamu wetu wataenda kujifunza kwa wenzao Malawi.
 
Back
Top Bottom