Ajaye
JF-Expert Member
- Sep 25, 2020
- 330
- 616
Wacha tunyooshwe kwani tunauwezo wa kupinga lolote? Watanzania ni watu wa ajabu sana sijawahi ona, kila jambo linalotokea limepangwa na lazima liwe hivyo kwasababu hata LENDER OF THE LAST RESORT tuliotegemea wakemee upuuzi wa kugawana keki ya nchi kwa familia zao tuu ndo hao wametulia.
Wacha tunyooshwe maana hata yule alietuonesha njia tulimchukia na kumuona hafai, leo tunasimama neutral pale mwenye nguvu anapomkanyaga mnyonge!
But all in all, mwenyezi Mungu(SW) aliyeruhusu haya ndiye atakaye yamaliza kama tu tutaweka jitahada kukataa dhulma, chuki, na mambo yote yafananayo na hayo. Tanzania na siasa zake ni MICHONGO tu no strategies to move on.
TIME HEALS ALL WOUNDS kataa wahuni
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app