Mgao umeanza upya? Leo tu umezimwa Kariakoo Mchikichini

Mgao umeanza upya? Leo tu umezimwa Kariakoo Mchikichini

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Kwanza ulizimwa saa tisa mpaka saa kumi na mbili jioni ukarudi, kisha ukazimwa saa moja mpaka saa hii ni saa tano na dakika mbili usiku hamna umeme kariakoo mchikichini.

TANESCO
 
Asante jf,

Baada ya kuwatag tu tanesco kwenye uzi umeme umerudi ndani ya dakika 11.

Wakati ulikosekana kwa saa nne mfululizo
 
Back
Top Bottom