mahindi hayaoti mjini JF-Expert Member Joined Nov 29, 2022 Posts 2,120 Reaction score 2,709 Mar 21, 2023 #1 Kwanza ulizimwa saa tisa mpaka saa kumi na mbili jioni ukarudi, kisha ukazimwa saa moja mpaka saa hii ni saa tano na dakika mbili usiku hamna umeme kariakoo mchikichini. TANESCO
Kwanza ulizimwa saa tisa mpaka saa kumi na mbili jioni ukarudi, kisha ukazimwa saa moja mpaka saa hii ni saa tano na dakika mbili usiku hamna umeme kariakoo mchikichini. TANESCO
mahindi hayaoti mjini JF-Expert Member Joined Nov 29, 2022 Posts 2,120 Reaction score 2,709 Mar 22, 2023 Thread starter #2 Asante jf, Baada ya kuwatag tu tanesco kwenye uzi umeme umerudi ndani ya dakika 11. Wakati ulikosekana kwa saa nne mfululizo
Asante jf, Baada ya kuwatag tu tanesco kwenye uzi umeme umerudi ndani ya dakika 11. Wakati ulikosekana kwa saa nne mfululizo
Immano2 JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 260 Reaction score 214 Mar 22, 2023 #3 Hapo ndio mtajua kwanini wakenya wapo barabarani
mahindi hayaoti mjini JF-Expert Member Joined Nov 29, 2022 Posts 2,120 Reaction score 2,709 Mar 22, 2023 Thread starter #4 Immano2 said: Hapo ndio mtajua kwanini wakenya wapo barabarani Click to expand... Wakenya wamezoea fujo, sie tuna amani ndugu
Immano2 said: Hapo ndio mtajua kwanini wakenya wapo barabarani Click to expand... Wakenya wamezoea fujo, sie tuna amani ndugu