Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

Habari wadau

Naona tumerudi enz zile..

Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije

Mwenye namba ya magari ya kuuza maji maeneo ya ubungo naomba anisaidie
Huku kwetu now week ya 3 mpaka tumeshasahau kuwa kuna DAWASCO ninachomshukuru Mungu ni kwamba kila baada ya nyumba kumi au 20 kuna bomba la maji ya bure ndugu zetu waislamu wameweka nje tunajichotea 24/7 isingekuwa hvyo pasingekalika
 
huku kwetu now week ya 3 mpaka tumeshasahau kuwa kuna dawasco ninachomshukuru mungu ni kwamba kila baada ya nyumba kumi au 20 kuna bomba la maji ya bure ndugu zetu waislamu wameweka nje tunajichotea 24/7 isingekuwa hvyo pasingekalika
Sie ambao tunakaa na wakatoliki huku inakuaje? 😅 Dumu 200
 
Tabu ikizidi we tustue tu tutakuletea

Dont worry ndio maana hawa vijana waliokuwa wakileta wameanza kuwa na jeuri maana lita 3000 ilikuwa 45,000 kwa sasa ukiwapigia simu wanakuambia maji kwa sasa ni 80,000 ila sio kwa hiyo lita 1000. Kama imefika huko this issue is very serious.
 
Back
Top Bottom