Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

Sie ambao tunakaa na wakatoliki huku inakuaje? [emoji28] Dumu 200
Hata huku watu wanafanya fursa kuna wale wenye kucha ndefu hawawez kubeba bas, wanakuja watu na madum yao wanaenda kuchota bure then wanakuletea kwa dum 200 pia ila kwa maji maeneo ya Ilala yamejaa ya kutosha labda waskie watukatie na umeme hapo ndo balaa litapokuwa zito
 
Dont worry ndio maana hawa vijana waliokuwa wakileta wameanza kuwa na jeuri maana lita 3000 ilikuwa 45,000 kwa sasa ukiwapigia simu wanakuambia maji kwa sasa ni 80,000 ila sio kwa hiyo lita 1000. Kama imefika huko this issue is very serious.
Tatizo wese limepanda my dear! Ingekuwa unaweza push hizo litre kwa guta ingekuwa rahisi mno!
 
Habari wadau

Naona tumerudi enz zile..

Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije

Mwenye namba ya magari ya kuuza maji maeneo ya ubungo naomba anisaidie
Fursa na ajira zinazidi kutengenezwa, jana nimechukua madumu yangu matano, jamaa kayajaza kwenye Kirukuu anakula vichwa.
 
hata huku watu wanafanya fursa kuna wale wenye kucha ndefu hawawez kubeba bas, wanakuja watu na madum yao wanaenda kuchota bure then wanakuletea kwa dum 200 pia ila kwa maji maeneo ya ilala yamejaa ya kutosha labda waskie watukatie na umeme hapo ndo balaa litapokuwa zito
Ilala misikiti mingi maji kitonga! Tabu iko kwa wadau wa goba huko😅 milimani
 
Kuna jamaa yangu ofisini kwao kuna bomba la maji huwaga linatoaga maji hata ya kikatika kuna matank makubwa,akiona maji hamna geto anaenda kazini na madumu yake matatu, jioni anarudi nayo.
Hahahahahah jmaa anainjoy sana, maji kwake sio tatizo huyo😅
 
Ilala misikiti mingi maji kitonga! Tabu iko kwa wadau wa goba huko[emoji28] milimani
Hapana boss hapa sizungumzii misikiti bali nazungumzia mtu nyumbani kwake kabisa anaweka tank na bomba nje kila likiisha maji analijaza na watu wanachota nje bureee,kwaiyo yeye kazi yake ni service ya mota na kulipia umeme hataki shiling kumi yetu

Anachotaka yeye thawabu tu kwa mungu na hapa mtaani kwangu tu wako kama wa 4 wamefanya hivyo
 
hapana boss hapa sizungumzii misikiti bali nazungumzia mtu nyumbani kwake kabisa anaweka tank na bomba nje kila likiisha maji analijaza na watu wanachota nje bureee,kwaiyo yeye kazi yake ni service ya mota na kulipia umeme hataki shiling kumi yetu

anachotaka yeye thawabu tu kwa mungu na hapa mtaani kwangu tu wako kama wa 4 wamefanya hivyo
Ndio jamii ya kiislamu imetawala sana Ilala
 
Maji! Maji! maji! huku kwetu tumezoea kwenda Kilomita nyingi kutafuta Maji
 
hapana boss hapa sizungumzii misikiti bali nazungumzia mtu nyumbani kwake kabisa anaweka tank na bomba nje kila likiisha maji analijaza na watu wanachota nje bureee,kwaiyo yeye kazi yake ni service ya mota na kulipia umeme hataki shiling kumi yetu

anachotaka yeye thawabu tu kwa mungu na hapa mtaani kwangu tu wako kama wa 4 wamefanya hivyo
Mtaa gani niamie now kwa dharula
 
Back
Top Bottom