jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Hata huku watu wanafanya fursa kuna wale wenye kucha ndefu hawawez kubeba bas, wanakuja watu na madum yao wanaenda kuchota bure then wanakuletea kwa dum 200 pia ila kwa maji maeneo ya Ilala yamejaa ya kutosha labda waskie watukatie na umeme hapo ndo balaa litapokuwa zitoSie ambao tunakaa na wakatoliki huku inakuaje? [emoji28] Dumu 200
Tatizo wese limepanda my dear! Ingekuwa unaweza push hizo litre kwa guta ingekuwa rahisi mno!Dont worry ndio maana hawa vijana waliokuwa wakileta wameanza kuwa na jeuri maana lita 3000 ilikuwa 45,000 kwa sasa ukiwapigia simu wanakuambia maji kwa sasa ni 80,000 ila sio kwa hiyo lita 1000. Kama imefika huko this issue is very serious.
Fursa na ajira zinazidi kutengenezwa, jana nimechukua madumu yangu matano, jamaa kayajaza kwenye Kirukuu anakula vichwa.Habari wadau
Naona tumerudi enz zile..
Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije
Mwenye namba ya magari ya kuuza maji maeneo ya ubungo naomba anisaidie
Ilala misikiti mingi maji kitonga! Tabu iko kwa wadau wa goba huko😅 milimanihata huku watu wanafanya fursa kuna wale wenye kucha ndefu hawawez kubeba bas, wanakuja watu na madum yao wanaenda kuchota bure then wanakuletea kwa dum 200 pia ila kwa maji maeneo ya ilala yamejaa ya kutosha labda waskie watukatie na umeme hapo ndo balaa litapokuwa zito
Hahahah itabidi nitafte kirikuu niishi nacho now😅Fursa na ajira zina zidi kutengenezwa,jana nimechukua madumu yangu matano, jamaa kayajaza kwenye Kirukuu anakula vichwa.
Tatizo wese limepanda my dear! Ingekuwa unaweza push hizo litre kwa guta ingekuwa rahisi mno!
We ukinishtua tu mi ntakuletea😅 yaniYou made my day eti gutta [emoji28][emoji28], kumbe ndio kazi yako ya kuuza maji eeh. Utaniletea huku kwangu mapinga.
Kuna jamaa yangu ofisini kwao kuna bomba la maji huwaga linatoaga maji hata ya kikatika kuna matank makubwa, akiona maji hamna geto anaenda kazini na madumu yake matatu, jioni anarudi nayo kwenye gari lake.Hahahah itabidi nitafte kirikuu niishi nacho now😅
Hahahahahah jmaa anainjoy sana, maji kwake sio tatizo huyo😅Kuna jamaa yangu ofisini kwao kuna bomba la maji huwaga linatoaga maji hata ya kikatika kuna matank makubwa,akiona maji hamna geto anaenda kazini na madumu yake matatu, jioni anarudi nayo.
Hapana boss hapa sizungumzii misikiti bali nazungumzia mtu nyumbani kwake kabisa anaweka tank na bomba nje kila likiisha maji analijaza na watu wanachota nje bureee,kwaiyo yeye kazi yake ni service ya mota na kulipia umeme hataki shiling kumi yetuIlala misikiti mingi maji kitonga! Tabu iko kwa wadau wa goba huko[emoji28] milimani
Sinza kuna maeneo maji yanatokaMama ana nyooosha Nchi 😀😀😀Sita Sahau siku ya jana nimezunguka na dumu langu Sinza nzima🤨
Ndio jamii ya kiislamu imetawala sana Ilalahapana boss hapa sizungumzii misikiti bali nazungumzia mtu nyumbani kwake kabisa anaweka tank na bomba nje kila likiisha maji analijaza na watu wanachota nje bureee,kwaiyo yeye kazi yake ni service ya mota na kulipia umeme hataki shiling kumi yetu
anachotaka yeye thawabu tu kwa mungu na hapa mtaani kwangu tu wako kama wa 4 wamefanya hivyo
Sinza ipi hyo boss maana hao ndo wanamwe, hawana makSinza kuna maeneo maji yanatoka
Ungenipigia simu nikuletee bozaMama ana nyooosha Nchi 😀😀😀Sita Sahau siku ya jana nimezunguka na dumu langu Sinza nzima🤨
Mtaa gani niamie now kwa dharulahapana boss hapa sizungumzii misikiti bali nazungumzia mtu nyumbani kwake kabisa anaweka tank na bomba nje kila likiisha maji analijaza na watu wanachota nje bureee,kwaiyo yeye kazi yake ni service ya mota na kulipia umeme hataki shiling kumi yetu
anachotaka yeye thawabu tu kwa mungu na hapa mtaani kwangu tu wako kama wa 4 wamefanya hivyo
Namba yangu ni ile ile tigo ya kumi na sabaUngenipigia simu nikuletee boza
Hahahah usijaliNamba yangu ni ile ile tigo ya kumi na saba
vizuri sanaMama ana nyooosha Nchi 😀😀😀Sita Sahau siku ya jana nimezunguka na dumu langu Sinza nzima🤨