Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Boza
Hakuna kinyonge wala kidhaifu kinachoruhusiwa kuingia mbinguni.Wanauza maji kwa sasa hawakuangalii usoni hutaki wana oda kwa wengine kwa kweli tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana
Unahitaji maji ya chupa?
John Usiache kimbebea na kijenereta Cha OFA kama ulivyoahidi eeh.Hahahaaaa...... hali ni tete!
Hapa White Inn kuna mwarabu anatuokoa kiukweli. Ana tanki lake linaziba matundu.Mama ana nyooosha Nchi ๐๐๐Sita Sahau siku ya jana nimezunguka na dumu langu Sinza nzima๐คจ
Maji ya chupa ninajua pa kuyapata, isipokuwa nimeshangazwa na hiyo bei ya 80,000/= kwa unit 1 ya maji!Unahitaji maji ya chupa?
Kumbe upo sinza jamani kwanini tusijuaneMama ana nyooosha Nchi ๐๐๐Sita Sahau siku ya jana nimezunguka na dumu langu Sinza nzima๐คจ
Aliekudanganya tutaenda mbinguni nani sema tutafika motoni tumechoka sanaWanauza maji kwa sasa hawakuangalii usoni hutaki wana oda kwa wengine kwa kweli tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana
Mimi naenda labla wewe ๐Aliekudanganya tutaenda mbinguni nani sema tutafika motoni tumechoka sana
Wewe lazima tutaonana motoni trust me๐๐Mimi naenda labla wewe ๐