Mgao wa mali za Jide, Gadner 'UTATA'

Mgao wa mali za Jide, Gadner 'UTATA'

Kuna mawili inawezekana Gadner alijisahau pesa yake akaishia kutanua au ana mali zake(nyumba) ya siri ambayo Jide hajui. Imeandikwa''enyi waume ishini na wake zenu kwa akili'' yeye hakuishi kwa akili mpk mwanamke akamzidi akili .

Yeah kweli kabisa.
 
Gadner naye aache uchizi mimi pia naamini mali ni za Jide , hakuna mwanaume ambaye atanunua magari,kiwanja na ajenge nyumba halafu vyote aandike jina la mke wake, wanaume ni wabnafsi sana.Jide kwahapo namsifu alikuwa mjanja sana.
Gadner atafute hela akaanze maisha aache kulilia mali za mwanamke, yani mali za Jide zigawanywe halafu Gadner akatanue na mwanamke mwingine aha hapana sikubali. Hapa Jide akaze buti hasikubali

JIDE usikubali mali zako umgawie huyo jamaa! akafanye kazi na ajifunze kutunza pesa zake na afanye maendeleo kama mwanaume! navyojua sisi wanaume hatuna tabia za kumuandikisha mwanamke mali tulizo tafuta wenyewe sana sana tukimpa mamaa zawadi huwa tunaandika majina yao tena ni nadra sana, asitafute maisha bora kwa mgongo wa talaka akafanye kazi! na hii inaonyesha huenda anatafuta mahusiano yenye maslahi kisha ayavunje ili apate mgao wa kidhalimi!
 
Huyo sababu ni fisadi/mwizi wa mali ya umma na wengi wanafanya hivyo, sasa Gadner ana sababu gani ya msingi.

Tumepewa vichwa ili tutumie kufikilia,sio kuwekea nywele bandia au vinginevyo
 
Back
Top Bottom