Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Tanzania inahitaji kiongozi mwenye maono (visionary) ambaye atatumia akili zaidi na sio hisiaHapana aisee kuna tofauti kubwa kati ya Dikteta na Mzalendo.
Hatuhitaji Dikteta ni hatari
Hii ni kazi endelevu ambayo haikwepeki.Well said
Tatizo linabaki moja, una raia ambao wana Ari, muamko, maarifa, ujasiri na hamu ya kutaka mabadiliko. ?
Tusipodharauliwa hatutaimprove.Kuweni na uzaendo kwa nchi yenu. Mambo kama hayo siyo kuyaanika mitandaoni kwani nchi jirani zikiona zitatudharau.
Under ccm, expect worse and worseMi naona hii nchi tuibinafisishe tu
Tutangaze nchi yoyote iliyopo tayar kuja kutukodi kwa muda hata wa miaka 50,cha msingi tunachokitaka ni kuwa na maisha bora kwa raia
Kitu ambacho huwa kinaniumiza hapa tz ni kukuta taasis fulani inafanya vibaya imedorola yaan haiwez kitu lakin unakuta boss na wafanyakaz wa hyo taasis anaishi maisha ya kifuru wanajenga mahekaru miradi yao inaenda na unakuta wanang'aa hatar lakin taasisi inaenda kujifia
Kuwa Mzalendo
Mgao utakuwepo baadhi ya maeneo walifungulia maji na so far mvua za vuli zimezinguaKuna mgao wa umeme tena??
Mbona tuliambiwa Stiglers Gorge ingekuwa muarobaini wa matatizo?!
Haya maneno si mageni jijini,Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
wa tz tukimpata mzalemdo tutamuita diktetaHapana aisee kuna tofauti kubwa kati ya Dikteta na Mzalendo.
Hatuhitaji Dikteta ni hatari
We hutaki tena kusumbuliwa😃Matajijua bana.
Nshachoka mie..😂😂😂
Yanini.. shauri zenu. 😂😂We hutaki tena kusumbuliwa😃
This point killed it all. Tuna wabongo wana mentality za kutowajibika kabisa. Moja ya kauli za hovyo na nisizozipenda ni hiyo.hata tunapochagua viongozi tunaoona wanafaa, tusiwaachie mzigo na kusema "Tundu Lissu anatosha". Hatoshi, inabidi asaidiwe, inabidi asimamiwe, inabidi akosolewe.
Kwa watanzania , kumshauri au kumkosoa aliyejuu ni uhaini na ukosefu mkubwa wa nidhamuTupate mawazo ya wengi hata yeye mwenyewe asibweteke kujiona anaweza kufanya lolote analotaka.
Na hii inatuangusha sana. Mkubwa anakosea mnaenda naye hivyo hivyoThis point killed it all. Tuna wabongo wana mentality za kutowajibika kabisa. Moja ya kauli za hovyo na nisizozipenda ni hiyo.
Hapo watu wanajiona wame improve kutoka enzi za 'zidumu fikra za mwenyekiti'
Kwa watanzania , kumshauri au kumkosoa aliyejuu ni uhaini na ukosefu mkubwa wa nidhamu
Nakuunga mkono sana kwenye hayo uloandika hasa kupuyanga kwa CCM kweli hawa watu wanatumaliza. Lakini hapo kwa habari ya LIssu fikiri vizuri zaidi.Engineer wa kifaa hichi( Tanzania) ni Tundu Lissu Pekee. Let him take the course.