Mgao wa Umeme Tanzania Nzima, Kisa cha Engine ya Dizeli na Mradi Wa Stigler's HEP, matrilioni yetu Tumepigwa tena?

Mgao wa Umeme Tanzania Nzima, Kisa cha Engine ya Dizeli na Mradi Wa Stigler's HEP, matrilioni yetu Tumepigwa tena?

Well said
Tatizo linabaki moja, una raia ambao wana Ari, muamko, maarifa, ujasiri na hamu ya kutaka mabadiliko. ?
Hii ni kazi endelevu ambayo haikwepeki.

Hata nchi zenye raia wenye yote hayo kwa kiwango cha juu hazikuanza hivyo, na hata baada ya kufika kiwango cha juu, hazibweteki zinaendelea kurithisha vizazi muamko huo.

Nimeshangaa jana kulikuwa na mazungumzo kuhusu Mwamposa na ujinga wa raia, watu wanatafuta suluhisho la shortcut la kuweka sheria kali za kudhibiti makanisa, wakati imani ni haki ya kibinadamu na hata pale nchi inapokuwa na standards (kwa mfano za usalama kwa watu wanaohudhuria) bila ya watu kuwa na.utamaduni wa kuelimika na kuheshimu standards, bila ya watu kuwa na elimu, standards zitakuwa hata hazieleweki wala kutekelezeka.

Again tumekuwa wepesi kutafuta shortcut ya solution ya sheria bila ya kutaka kufanya kazi ngumu ya kuelimisha watu sehemu ambayo watu wakielimika pengine hata sheria haitahitajika.

Hiyo ari, muamko, ujasiri na hamu vitakuja tu watu wakipata maendeleo ya kielimu na kiuchumi hayo mambo hayakwepeki. Ila inabidi kuchochea yaje mapema, kuwe na catalyst.
 
Wakati wanajeshi wanalinda mipaka,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu na kodi zetu!

Lakini Sasa wanasiasa ndio wanahusika na kuiba rasilimali kodi Kwa mgongo wa mikataba!!

The state I akubakubalije uhuni huu!!?

Nachukia sana!
 
Mi naona hii nchi tuibinafisishe tu

Tutangaze nchi yoyote iliyopo tayar kuja kutukodi kwa muda hata wa miaka 50,cha msingi tunachokitaka ni kuwa na maisha bora kwa raia

Kitu ambacho huwa kinaniumiza hapa tz ni kukuta taasis fulani inafanya vibaya imedorola yaan haiwez kitu lakin unakuta boss na wafanyakaz wa hyo taasis anaishi maisha ya kifuru wanajenga mahekaru miradi yao inaenda na unakuta wanang'aa hatar lakin taasisi inaenda kujifia
Under ccm, expect worse and worse
 
Kuna mgao wa umeme tena??
Mbona tuliambiwa Stiglers Gorge ingekuwa muarobaini wa matatizo?!
Mgao utakuwepo baadhi ya maeneo walifungulia maji na so far mvua za vuli zimezingua
Na hawakuwasha mitambo yote 9 sababu mingine bado haijanunuliwa
 
Mambo ni matatu tu,
1. Akili kichwani
2. Pesa mfukoni
3. Nguvu kiunoni
 
Hapana aisee kuna tofauti kubwa kati ya Dikteta na Mzalendo.

Hatuhitaji Dikteta ni hatari
wa tz tukimpata mzalemdo tutamuita dikteta
bara tuendelee hivi hiv tu mpaka siku tutakapoamka na kujitambua kwamba nguvu na mamlaka yako kwetu sisi tulio wengi
kuna jamaa huwa namuona kwenye tv anasema, tofauti na wenzetu sisi ya kwetu ni ya umeme ua kwao ni ya disel,na yuko bold kweli kweli
hao Jirani zetu watatushangaa sana kama ni kweli tukirudi kwenye dizel
 
hata tunapochagua viongozi tunaoona wanafaa, tusiwaachie mzigo na kusema "Tundu Lissu anatosha". Hatoshi, inabidi asaidiwe, inabidi asimamiwe, inabidi akosolewe.
This point killed it all. Tuna wabongo wana mentality za kutowajibika kabisa. Moja ya kauli za hovyo na nisizozipenda ni hiyo.
Hapo watu wanajiona wame improve kutoka enzi za 'zidumu fikra za mwenyekiti'
Tupate mawazo ya wengi hata yeye mwenyewe asibweteke kujiona anaweza kufanya lolote analotaka.
Kwa watanzania , kumshauri au kumkosoa aliyejuu ni uhaini na ukosefu mkubwa wa nidhamu
 
This point killed it all. Tuna wabongo wana mentality za kutowajibika kabisa. Moja ya kauli za hovyo na nisizozipenda ni hiyo.
Hapo watu wanajiona wame improve kutoka enzi za 'zidumu fikra za mwenyekiti'

Kwa watanzania , kumshauri au kumkosoa aliyejuu ni uhaini na ukosefu mkubwa wa nidhamu
Na hii inatuangusha sana. Mkubwa anakosea mnaenda naye hivyo hivyo
 
Engineer wa kifaa hichi( Tanzania) ni Tundu Lissu Pekee. Let him take the course.
Nakuunga mkono sana kwenye hayo uloandika hasa kupuyanga kwa CCM kweli hawa watu wanatumaliza. Lakini hapo kwa habari ya LIssu fikiri vizuri zaidi.
 
Dar mgao ulikuwa lini? Tuache kueneza uongo
 
Back
Top Bottom