Apostle Ezekiel
Member
- Mar 19, 2019
- 48
- 109
Hii hatari Sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu iko mkononi bwashee ndio sababu Mbowe na Sugu Wana maarifa kupita Lipumba japo waliishia form four 😂😂🔥Siwezi kukubishia mkuu, maana sijui unalizungumzia katika engo gani. Lakini ukisema vinalingana, lazima mtu akukodolee mijicho kwa mshangao.
Tatizo mindset ya Watanzania.Hii Nchi sasa inabidi ifanyiwe Factory Reset.
La sivyo hakuna kitu kitasimama hata tujikakamue vipi. Ni lazima mnyororo na mkondo wa Mafisadi ukomeshwe. Nani wa kuukomesha?
Mafisadi hawawezi kuukomesha. Likes dissolves like hii ni kanuni ya kikemia. Unachagua fisadi unamwingiza kwenye mfumo wa kifisadi hakuna matokeo.
Ndani ya miezi miwili Oktoba Novemba nimeshuhudia mgao wa umeme Arusha, Dar, Lindi, Mtwara, Pwani, Zanzibar.
Hali hii itaisha mpaka lini?
Serikali ya Tanzania imejizatiti chini ya Dr Magufuli kuhakikisha tunapata umeme wa uhakika. Yalisemwa mengi kwamba umeme utakuwa mwingi na mwingine utauzwa nje.
Ghafla bin vuu SGR umeme unasumbua sasa tunataka kununua Dizel😄😄😄😄
Unamaliza elimu ya form four unapewa cheti lakini unaanza tena kurudia form II.
Ndugu zanguni kuna shida kubwa sana kwenye mifumo yetu ya utawala. Na sijui nini kifanyike.
Kama ingekuwa computer au Simu basi virusi vikiingia suluhisho ni Factory Reset. Password zote za wizi na za Hackers zinafutika unaanza upya na kifaa kipya.
Engineer wa kifaa hichi( Tanzania) ni Tundu Lissu Pekee. Let him take the course.
Tutaendelea kupuyanga mpaka lini?
Tukodishe nchi?😁😆Wazo langu ni kwamba badala ya kuhangaika na njia ndefu ya kumtafuta mwekezaji, halafu tupambane kuwaondoa mchwa ili tummilikishe yeye, kwa nini tusipambane tu kuwaondoa mchwa hao kisha tukajimilikisha wenyewe nchi yetu?
There is always some one to lead, mkuu hata kwa wezi kuna mwizi mkuu ambaye ana authority ya kuamua waibe wapi kwa nani. Hata kama wanaiba woteTatizo mindset ya Watanzania.
Hata wewe mwenyewe badala ya kutafuta ufumbuzi endelevu wa tatizo, umetafuta shortcut ya kumpachika mtu mmoja atutatulie tatizo.
Huyo mtu mmoja akifa je, utafanya nini?
Mbona tayari?Tutangaze nchi yoyote iliyopo tayar kuja kutukodi kwa muda hata wa miaka 50,cha msingi tunachokitaka ni kuwa na maisha bora kwa raia
Masihara hayo😀Mbona tayari?
Bara ilishamilikiwa na Zanzibar kimya kimya
sasa blaza kaka umetumalizia muda wetu wakati lengo lako lilikuwa kulipigia promo TUNDU tu...! 😅😁Engineer wa kifaa hichi( Tanzania) ni Tundu Lissu Pekee. Let him take the course.
Tutaendelea kupuyanga mpaka lini?
Kuwa MzalendoNdio mwisho wa akili yako au
Kuweni na uzaendo kwa nchi yenu. Mambo kama hayo siyo kuyaanika mitandaoni kwani nchi jirani zikiona zitatudharau. Mambo kama haya tuwe tunalalamika kwa kupigiana simu au kwenye magrupu ya kitanzania au kuwatumia ujumbe wakuu wa wilaya na mikoa
Haya mambo inabidi yaongelewe ndani 😀Mkuu haya mambo yako siku zote. Hapa tunataka kuyajadili kwa pamoja kama wananchi.
Unaogopa kuchekwa na wakenya😃😃
Chumbani maana ni ya aibu sanaHaya mambo inabidi yaongelewe ndani 😀
Nilikuwa naweka msingi wa habari hizi. Laying a backgroundsasa blaza kaka umetumalizia muda wetu wakati lengo lako lilikuwa kulipigia promo TUNDU tu...! 😅😁
Hata hawa viongozi wa sasa walikoanzia ni kuaminiwa na wananchi waongoze.There is always some one to lead, mkuu hata kwa wezi kuna mwizi mkuu ambaye ana authority ya kuamua waibe wapi kwa nani. Hata kama wanaiba wote
Nikirusi kipo katika mfumo kuanzia juu hadi chini! Hii nchi ni katiba na kwambia mafisadi watanyoka!Hii Nchi sasa inabidi ifanyiwe Factory Reset.
La sivyo hakuna kitu kitasimama hata tujikakamue vipi. Ni lazima mnyororo na mkondo wa Mafisadi ukomeshwe. Nani wa kuukomesha?
Mafisadi hawawezi kuukomesha. Likes dissolves like hii ni kanuni ya kikemia. Unachagua fisadi unamwingiza kwenye mfumo wa kifisadi hakuna matokeo.
Ndani ya miezi miwili Oktoba Novemba nimeshuhudia mgao wa umeme Arusha, Dar, Lindi, Mtwara, Pwani, Zanzibar.
Hali hii itaisha mpaka lini?
Serikali ya Tanzania imejizatiti chini ya Dr Magufuli kuhakikisha tunapata umeme wa uhakika. Yalisemwa mengi kwamba umeme utakuwa mwingi na mwingine utauzwa nje.
Ghafla bin vuu SGR umeme unasumbua sasa tunataka kununua Dizel😄😄😄😄
Unamaliza elimu ya form four unapewa cheti lakini unaanza tena kurudia form II.
Ndugu zanguni kuna shida kubwa sana kwenye mifumo yetu ya utawala. Na sijui nini kifanyike.
Kama ingekuwa computer au Simu basi virusi vikiingia suluhisho ni Factory Reset. Password zote za wizi na za Hackers zinafutika unaanza upya na kifaa kipya.
Engineer wa kifaa hichi( Tanzania) ni Tundu Lissu Pekee. Let him take the course.
Tutaendelea kupuyanga mpaka lini?
Hapa umenipa ukweli umeniuma.Huko nyuma ya oazia, walioshika madaraka wana nia moja tu, kuendelea kushika madaraka, na wanaitafuta madaraka wanannia moja tu, kupata madaraka, habari nyingine zote ni geresha tu.