Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi.

Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
 
Kama kila siku mtailaumu ccm kwann msiiadhibu na mnahiyo fursa kila baada ya miaka 5 kama hatuwez kuwaadhibu basi tusilalamike kwakua hakuna litakalobadilika.

Serikali ni wananchi maamuzi yapo kwenye viganja vyenu
 
Tujilaani wananchi kwa kufuga kiholela na kukata miti hovyo, kuvamia mabonde na kulima na kufugia humo, na kuvamia hifadhi za mbuga na misitu.
 
Hivi gazeti la Mwanahalisi na Mawio siku hizi hayafanyi kazi ?
 
Jamaa wanasema wanafika nyumbani kukiwa Giza totolo na wakati huo huo maji hakuna [emoji24]
 
Hivi kubenea yupo wapi ?

Au amewahiwa [emoji389][emoji384][emoji383]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…