Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Washauri wake ndo wanampotosha!! Ahsanteni wajumbe uzi huo huo 2025/ 2030 wasiwafanye watanzania kuwa ni wapumbavu!!Mbona Rais anayesimamia huo umeme alipata asilimia 99.9?
Toa Ushahidi..Ni kawaida mawaziri vigogo kutofanya vizuri ktk chaguzi ndani ya Ccm.
..kuna mwaka Benjamin Mkapa alianguka ktk uchaguzi wa NEC.
Kila nyakati, na zama, na masika, kuna mbu wake.Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo...