Mgawo wa umeme na maji na tozo mbalimbali zimeamua matokeo ya NEC

Mgawo wa umeme na maji na tozo mbalimbali zimeamua matokeo ya NEC

Mwl Athumani Ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,280
Reaction score
2,522
Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo.

Nawashukuru wajumbe kwa matokeo mazuri sana!

Wahusika wajitafakari kwa mstakabali wa maisha yao ya kisiasa ndani na nje ya chama!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu.
 
..Ni kawaida mawaziri vigogo kutofanya vizuri ktk chaguzi ndani ya CCM.

..kuna mwaka Benjamin Mkapa alianguka ktk uchaguzi wa NEC.
 
Mbona Rais anayesimamia huo umeme alipata asilimia 99.9?
 
Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo...
Kila nyakati, na zama, na masika, kuna mbu wake.

Mbu wa masika kaa mbali na binadamu!

Wajumbe wa NEC ni sehemu ya binadamu na wana uwakilishi nchini.

Matatizo wanayaona, hata kama hayakusababishwa na viongozi waliopo.

Shida kubwa ni jinsi matatizo hayo yanavyotatuliwa.

Ukiwa na Banker ndio kiongozi wa TANESCO, Waziri wake ambaye hana uafadhali, halafu mtu anaenda kugombea uNEC.

Unategemea nini haswa?
 
Back
Top Bottom