Tetesi: Mgeja na wenzake watano kurudi CCM

Wakiwa CHADEMA makamanda wakiwaondoka wasaliti!na aliyeuza Chama mtawitaje?
 

= msaliti

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Magamba mnajifariji kwa taarifa yako hao kina mgeja na wenzake hawakuongeza kitu .
 
Kuipokea oili chafu ni usaliti.
 
Ni kawaida ya wanasiasa kuhama. Wapo kimaslahi zaidi.
 
Kasi ya Chama cha mapinduzi ni kubwa hamuwezi kwenda nayo na huyo Machinjioni aleyechaguliwa hivi karibuni huko Mwanza mtarijie kuaachia ngazi baada ya muda mfupi atakapokosana na mwenye chama chake.
 
Labda kwavile ni tetesi nitawashangaa ccm kuwapokea watu mliowaita oil chafu na mafisadi.
 
Wenye mapenzi ya dhati na chadema ni wale ambao hawakuwahi kuwa wanachama wa ccm.......kinyume chake ni maslahi tu.
 
Shida ya hawa wazee ni wanasiasa njaa hawana la maana hata moja pole yao.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…