falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
- #61
Sawa rudisheni maeneo ya watu mliyopora,ccm chama matapeli= unakosea
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa rudisheni maeneo ya watu mliyopora,ccm chama matapeli= unakosea
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sawa rudisheni maeneo ya watu mliyopora,ccm chama matapeli
Sumaye alirudisha,bi mdash ushaanza kuzeeka sasaSumaye karudisha?
Washamaliza kaziChama kimeuzwa! Wanaorudi wanalijua hilo
Yapi au baba yako aliuza? au alituazima?Sawa rudisheni maeneo ya watu mliyopora,ccm chama matapeli
Uko dunia ipi mkuu nani kakwambia viroba vinauzwa arusha cku hizi . Lema yupo ametulia anatumbua majipu soon mtasikia mambo mazurYupo arusha na wala viroba wenzake
Warudi tu huko Ccm watuachie chadema yetuNimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june
Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo
Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa
My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa
falcon mombasa
kwani huyo baba riz nae si ni msaliti tu, hana lolote, hivi watu wanadhani bila ccm hawaishiNimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june
Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo
Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa
My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa
falcon mombasa
Yeah alishirikiana na mamakoYapi au baba yako aliuza? au alituazima?
hao nyumbu niatshangaa wakikubaliwa kurudi ccm. hheri kua na wanachamaa wajinga wanajitambua na kukubali kuelimishwa kuliko watu wajinga walafi wanaoongozwa na njaa kujaza matumbo yao makubwaNimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june
Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo
Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa
My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa
falcon mombasa
Umeongea pumba tupuhao nyumbu niatshangaa wakikubaliwa kurudi ccm. hheri kua na wanachamaa wajinga wanajitambua na kukubali kuelimishwa kuliko watu wajinga walafi wanaoongozwa na njaa kujaza matumbo yao makubwa
Asisahau kumwambia yule wa jikoni alete nyama choma safi kachumbari kwa wingiweita lete castle lager mbili baridi...
Hao waendelee kuzungusha mikono ya Lowasa mabadiliko. Wakipokekewa mwishowe yule aliyesema ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo ataomba arudihehe! mimi nasema wasipokelewe wabaki hukohuko
Uko sahihi mkuuHivi kwa hii kasi ya.magufuli inawezekanaje CDM kubaki salama?
Sio kina mgeja tu,jiandaeni kwa makubwa zaidi!
Shida ya hawa wazee ni wanasiasa njaa hawana la maana hata moja pole yao.
PALEKA MHAKAMANI HUU USHAHIDI WA MEMBE, KWANINI CHMA CHA HAKI KAMA CHADEMA MTETEZI WA WANYONGE, KISIMSHITAKI MEMBE NA USHAHIDI WOTEE HUU!Dr Slaa Hana Laana itayoishika chadema hata siku moja Kwa sababu yeye aliondoka chadema Kwa njia Haramu baada ya kununuliwa na Membe Kwa dola milion 2 pesa za NIDA pamoja na zile za marehemu Gadafi ambazo Membe kazichimbia kwenye Handaki nyumbani kwake. Hakuna Laana hapo Slaa mwenyewe ni msariti hapo hapo ni mnafiki mkubwa maana yeye ndiye aliratibu kila kitu kisha akageuka baada ya kununuliwa na Membe.