Tetesi: Mgeja na wenzake watano kurudi CCM

Tetesi: Mgeja na wenzake watano kurudi CCM

makapi yanajitenga yenyew wasaliti wa mabadiliko lazima waumbuke
 
Hivi kasi ya Magufuli ni ipi maana huku kwetu sukari bei yake ni ileile na hata maisha ya sasa hayatofautiani na kipindi cha JK ni magumu afadhali ya jana
 
Ama kweli njaa ni kiboko ya kila kitu.lakini jamani hivi kweli hali ikiwa kulbalaa itakuwaje?. mimi mwenyewe hivi sasa tangu nihamie upande huu nimekonda sana jamani ah. lakini sintarudi hukp katu aibu gani hii. watoto wanaka nikaombe msamaha lakini nimetia ngumu. Hebu tisubiri labda atakosea maana hii speed 2020 kura zinaweza zisifike 10000.
 
Chadema chama imara chenye msimamo watahama watarud
 

Attachments

  • 5.jpg
    5.jpg
    79.1 KB · Views: 27
pigo la mwisho itakuwa lowassa kuondoka,tena ataondoka wakati anategemewa,Dr Slaa alishasema kuna watu wametumwa kazi moja tu kuja kuuwa upinzani wa CDM nadhani soon ataeleweka zaidi
 
Walitukuta na watatuacha na chama chetu tuko Imara hatuyumbishwi na mtu,
Acha tusonge na usafiri wetu
 
Tehe tehe tehe nimecheka sana, eti CHADEMA tuwe makini na wanafiki hawa.

Tehe tehe tehe hao wanafiki ni kina nani? Yani mnaishi kwenye nyumba moja halafu hamjuani. Tehe tehe tehe mnachekesha!

CHADEMA mkitaka kuwa makini na wanafiki kuweni makini kwanza na viongozi wenu kina Mtei, kina Lissu, kina Mnyika, kina Mbowe maana hao ndio wanafiki wakubwa!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Nimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june

Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo

Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa

My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa


falcon mombasa
MWISHO WA PICHA, mzee wa arosto atabaki mwenyew kama lishetani flani amazing.. Hahaha... Just kidding.
 
Hakuna makubwa zaidi kama ile mlivyo mrubuni slaa akabwaga manyanga katikati ya uchaguzi mkuu mwaka jana,maccm hamna akili

Sasa Mtu alieweza kumrubuni Mtendaji Mkuu wa Chama chako mpaka akarubunika anakuaje hana akili? Mie nikifanikiwa kumrubuni Mkeo mpaka nikafanikiwa kumbebesha Propela shafti mkiani utasema sina akili?
 
Hii taarifa sio kweli kwa kila kitu. Mgeja ni LOWASSA damu, hawezi kuachana naye HATA SIKU MOJA. Kuna waliojiunga CHADEMA bila kujua kuwa Lowassa naye angekwenda huko. Hao ni kama Lembeni. Ukiniambia yeye ataomba msamaha arudi CCM naweza kuamini kwa sababu sidhani kama Mzee Lowassa angefurahi kama Lembeni angepata Ubunge. Sio Mgeja bwana, huyu hatenganishwi na Lowassa.
Kwani lowasa sio mwanaccm Yule hata yeye mbona atarudi subirini tu.
 
Huwa nafikiria tu zile panchi atakazopewa Mamvi akiamua kurudi CCM nadhani ile list of shame itarudiwa kusomwa tena
 
Back
Top Bottom