Tetesi: Mgeja na wenzake watano kurudi CCM

Tetesi: Mgeja na wenzake watano kurudi CCM

Nimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june

Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo

Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa

My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa


falcon mombasa
hata wakirudi CCM hatuwapi vyeo hata kimoja
 
Akili zitawarudia tu ...upinzani uliuzwa kirahisi tu vijana wakashangilia bila kuhoji ....tuliohoji tukaitwa wasaliti ....Watanzania tuache kufanyia ushabiki maisha yetu maana siasa ndio maisha yenyewe tujifunze kuhoji viongozi wetu ili wanapofanya maamuzi wajue tutahoji ....mliishia kumtukana kila tusi Dr Slaa mtu tuliyemuamini miaka yote kwasababu ya watu wa aina hii ....bado yatakuja mengi yatayobadili mawazo ya wengi ...
 
Yaani Mgeja ndo alichemsha,anaukumbuka uenyekiti wake na sasa Erasto kwilasa ndo mwenyekiti wa CCM Shinyanga.Yaani kuhama chama kwa sababu ya binadamu mwenzako huo ni uzandiki wa hali ya juu,sasa huko CHADEMA hata huyo Lowasa kashindwa kuwatafutia vyeo,yaani taabu sana kwa kweli
 
Kwa kasi hii upinzani watabaki wapinzani lakini wanamabadiliko wataendelea na CCM,
 
Siasa za kinafiki na wachumia tumbo
Sio unafiki tuu kaka, hivi Wayne Ronney wa ManU akihamia Barca akitegemea kupata umaarufu zaidi lakini kule akala benchi la uhakika na hakuna anayejali uwepo wake unadhani ataamua kufanya nini zaidi ya kurudi kwenye timu yake aliyokuwa anapata attention?
Hawa jamaa umeona juzi hata kualikwa tuu kuwa wasikilizaji kwenye kikao cha Baraza kuu unadhani wameathirika kwa kiwango gani kisaikolojia? Wameumia sana maana walidhani ukijiunga Chadema ukitokea CCM utakuwa lulu wakati majembe ya nguvu tupo na tunacheza nje ya uwanja?
Kwa hiyo Ronney akija Barca na kurudi ManU kwa kukimbia benchi utasema Barca imeathirika? Wakwende huko!
 
.....hao ndio wanaitwa wasaka tonge....mmoja wao ni Mwapachu aliyerudi ccm jana....wengi wao wanataka kurudi ili kulinda maslahi yao...maana wanaona watashughulikiwa.....inaonyesha wameshajua kuwa wanaoshughulikiwa kwa kasi na watawala sasa ni wale wenye mrengo wa upinzani....siasa za kibongo ni za takataka sana....
 
Sasa Mtu alieweza kumrubuni Mtendaji Mkuu wa Chama chako mpaka akarubunika anakuaje hana akili? Mie nikifanikiwa kumrubuni Mkeo mpaka nikafanikiwa kumbebesha Propela shafti mkiani utasema sina akili?
Wenye akili ndio walio mpachika mkeo hiyo mimba aliyo nayo,masikini wewe na uzuzu wako unahangaikia kutafuta nepi wakati wenzako wapo wana kuchora
 
Mkuu falcon mombasa hata wakirudi wote maana hiyo itakuwa ni nguvu ya mungu anaisaidia cdm kuwaondoa hao wasaliti,cdm itabakia salama

Wameshakua wasaliti tena. ?
 
Wenye akili ndio walio mpachika mkeo hiyo mimba aliyo nayo,masikini wewe na uzuzu wako unahangaikia kutafuta nepi wakati wenzako wapo wana kuchora

Mke Mwenzio nimembebesha Mimba ya Mwisho kabla Mama yako hajazibuliwa Bikra. Uwe na adabu!
 
Adabu anayo babako na mamako waliokuzalia kichakani

Wewe si walikimbilia kukuzalia hospitali kwa Operation kwa kuwa Pressure ya kukusukuma hakuwa nayo kutokana na uharibifu aliofanyiwa.
 
Wewe si walikimbilia kukuzalia hospitali kwa Operation kwa kuwa Pressure ya kukusukuma hakuwa nayo kutokana na uharibifu aliofanyiwa.
1458206768638.jpg
 
Back
Top Bottom