MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Hahaha jamaa yupo halimbayaLembeli hakosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha jamaa yupo halimbayaLembeli hakosi
Wataelewa tuLowasa ni liability au ni asset? Swali Dr Slaa linakaribia kupata majibu. Unafiq!unafiq! Tanzania tunaongoza. CDM mkamwombe msamaha Slaa,vinginevyo laana ya huyo mtu mzima itawamaliza
Mmesha zoelekaMi sijaona jipya zaidi ya watoto wa Lumumba na Bk7 zao kujitekenya na kujichekesha wenyewe kwani mwenye kusema ukweli ni Ngoda na Funza tu hao wengine ni sawa na mashua, bila upepo kuvuma haiendi. Sio Slaa wala Mwengine yeyote, mwenye-kuitesa CDM ni Mungu pekee kupitia wapenda haki tu si vinginevyo. Wee Falcon Mombasa umezidi kujitia dole huku ukijifanya unajisafisha kumbe unajichafua huna na hamna lolote watoto wa Lumumba. [emoji14][emoji14][emoji14] ......😀
Wengi tu watarudi ni muda tu wakusubiri, siku zote wahenga husema "Ng'ombe akivunjika mguu hurudi zizini kwake" haitafika 2020 hata Mamvi nae atawakimbia.Hivi kwa hii kasi ya.magufuli inawezekanaje CDM kubaki salama?
Sio kina mgeja tu,jiandaeni kwa makubwa zaidi!
kwa huo mfano wako, kwahyo unataka kutuambia kuwa lowasa amehama kutoka real madrid na kuja majimaji fc (wanalizombe) na kuja kuwa nahodha wao? maana wakati yuko CCM alikua hana namba, akahamia CDM akapewa na ugombea wa urais kabsa.Sio unafiki tuu kaka, hivi Wayne Ronney wa ManU akihamia Barca akitegemea kupata umaarufu zaidi lakini kule akala benchi la uhakika na hakuna anayejali uwepo wake unadhani ataamua kufanya nini zaidi ya kurudi kwenye timu yake aliyokuwa anapata attention?
Hawa jamaa umeona juzi hata kualikwa tuu kuwa wasikilizaji kwenye kikao cha Baraza kuu unadhani wameathirika kwa kiwango gani kisaikolojia? Wameumia sana maana walidhani ukijiunga Chadema ukitokea CCM utakuwa lulu wakati majembe ya nguvu tupo na tunacheza nje ya uwanja?
Kwa hiyo Ronney akija Barca na kurudi ManU kwa kukimbia benchi utasema Barca imeathirika? Wakwende huko!
Alikuwa hana namba? Ni mchezaji gani alikuwa maarufu huko hata kura za maoni akasomba kama gharika? Sema Kocha tuu hakumpenda kwani umaarufu wa mchezaji huyo ulikuwa unamfunika Kocha dhaifukwa huo mfano wako, kwahyo unataka kutuambia kuwa lowasa amehama kutoka real madrid na kuja majimaji fc (wanalizombe) na kuja kuwa nahodha wao? maana wakati yuko CCM alikua hana namba, akahamia CDM akapewa na ugombea wa urais kabsa.
Hivi kwa hii kasi ya.magufuli inawezekanaje CDM kubaki salama?
Sio kina mgeja tu,jiandaeni kwa makubwa zaidi![
UNAJUA MTU ANAYEONA KASI HII IKO SAWA SAWA MIMI NAMWONA NI BENDEREA FUATA UPEPO TU
MWL NYERERE MWAKA 1967 ALICHUKUA KILA KITU KUTOKA KWA MABEPARI LAKINI MWISHO ALIISHIA KU"NGATUKA
KWA KUOGOPA MZIGO WA MATATIZO YA WANANCHI HIVYO NASHAURI TUMPE TIME LABDA 2 YEARS
Njaaa jamani,mnataka wakale wapi?Du of all people kuna mtu alitegemea kiumbe km Mngeja atamudu kukaa ipinzani kweli? Na kuna myu yeyote kstika upinzani anayewezs kusikitika kwa kuondoka Mngeja? Mtu kula yake ilotokana na chama?
Mtasubiri sanaLembeli hakosi
Ngoja hujumu itoke atauona uchi wa kuku na kurudi ccmMtasubiri sana
Hehehe eti mchezaji gani maarufu!!Alikuwa hana namba? Ni mchezaji gani alikuwa maarufu huko hata kura za maoni akasomba kama gharika? Sema Kocha tuu hakumpenda kwani umaarufu wa mchezaji huyo ulikuwa unamfunika Kocha dhaifu
Chadema ni zaidi ya Slaa wewe umekunywa uji wa wapi .Lowasa ni liability au ni asset? Swali Dr Slaa linakaribia kupata majibu. Unafiq!unafiq! Tanzania tunaongoza. CDM mkamwombe msamaha Slaa,vinginevyo laana ya huyo mtu mzima itawamaliza
Nimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii imekuja mara baada ya mkwere kutangaza atawashughulikia wote waliosaliti ccm wakati wa uchaguzi
Aidha siku ya ijumaa iliyopita baba riz akiwa ofisini lumumba alimpokea mgeni ambaye kiumri ni mtu mzima kuliko baba riz,mgeni huyo mstaafu wa jeshi mwenye lafudhi ya kanda ya ziwa ambaye pia ni kada kuntu wa ccm,alimweleza baba riz kuwa ana majina matano ya waliosaliti ccm lakin sasa wanataka kurudi ccm wakati wa kikao cha kamati kuu ya ccm kitakapo kaa mwezi june
Hali iliyomfanta baba riz kutahamaki na kuanza kuuliza."hawa wakati sisi tunatafuta serikali wao walitusaliti,sasa hivi wanataka nini?"lakin hatimaye alikubali kuyapokea majina hayo
Wanamabadiliko nitaendelea kuwajuza kadri muda unavyoruhusu juu ya vigeugeu hawa
My take:chadema tuwe makini na wanafki kama hawa
falcon mombasa
Utasubiri sanaWengi tu watarudi ni muda tu wakusubiri, siku zote wahenga husema "Ng'ombe akivunjika mguu hurudi zizini kwake" haitafika 2020 hata Mamvi nae atawakimbia.
Akili zitawarudia tu ...upinzani uliuzwa kirahisi tu vijana wakashangilia bila kuhoji ....tuliohoji tukaitwa wasaliti ....Watanzania tuache kufanyia ushabiki maisha yetu maana siasa ndio maisha yenyewe tujifunze kuhoji viongozi wetu ili wanapofanya maamuzi wajue tutahoji ....mliishia kumtukana kila tusi Dr Slaa mtu tuliyemuamini miaka yote kwasababu ya watu wa aina hii ....bado yatakuja mengi yatayobadili mawazo ya wengi ...
Alikuwa hana namba? Ni mchezaji gani alikuwa maarufu huko hata kura za maoni akasomba kama gharika? Sema Kocha tuu hakumpenda kwani umaarufu wa mchezaji huyo ulikuwa unamfunika Kocha dhaifu