Mgeni Adhim Atembelea Maktaba

Mgeni Adhim Atembelea Maktaba

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Leo jioni nimepokea mgeni adhim kupita kiasi niliyekutananae akiwa mtoto mdogo akisoma shule ya msingi.

Mtoto huyubalikuja nyumbani kwangu kaletwa na baba yake.
Ilikuwa asubuhi moja mwaka wa 2018.

Mtoto huyu baba yake ambae hatukuwa tunafahamiana aliniambia kuwa mwanae alikuwa amesoma kitabu cha Abdul Sykes na kimemuathiri sana kiasi alimuomba ampeleke kwa mwandishi wa kitabu hicho.

Hivi ndivyo nilivyokutana na kijana huyu kwenye picha hiyo hapo chini.
Jina la mtoto huyu ni Abdulrahman Yahya Ahmed.

Mtoto huyu alinionyesha maajabu.
Alikuwa kahifadhi sehemu za kitabu cha Abdul Sykes ghibu na akawa ananisomea.

Ukimsikiliza utadhani anasoma Barzanji.

Mashaallah.
Nilishangaa pakubwa.

Miaka sita imepita.

Mtoto huyu ambae sasa ni kijana kama anavyoonekana hapo chini picha ya kwanza leo kaja nyumbani kwangu kunisalimu.

Hivi sasa ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu na alikuwa nje ya Tanzania akisoma.
Amekuja kuniona na kaniletea zawadi ya vitabu kwa ajili ya Maktaba.

Furaha yangu kwa hakika haisemeki wala haielezeki.

Mwangalie hapo chini Abdulrahman alivyokuwa mwaka wa 2018 akinisomea kitabu cha Abdul Sykes ghibu yaani anasoma kutoka kichwani.

Baba yake ni huyo aliyekaa mkono wa kushoto.
Picha hii niliipiga tarehe 4 August 2018 saa 3:38 asubuhi.

1735410387854.jpeg

Abdulrahman 2024
1735410467032.jpeg

Abdulrahman 2018​
 
Mohamed Said mimi kwa mara kwanza nilikuona salamander restaurant,kwa akina hashim sagaf,nikiwa kijana msomi wa vitabu sana,wakati huo nilikuwa nasoma,nchi moja huko nje,nilikuwa naongea sana na wewe na hakika ulikuwa ni mtu mwenye maarifa makubwa sana.Kuna siku nikipata fursa ntaandika makala ndefu sana kuhusu wewe.Mungu akutunze
 
View attachment 3187260
Abdulrahman 2024
View attachment 3187261
Abdulrahman 2018​
Alikuja kusima historia ilojaa matangopori,huruma kwake kwa kusima uongo na unafiki,what a waste.
 
Mohamed Said mimi kwa mara kwanza nilikuona salamander restaurant,kwa akina hashim sagaf,nikiwa kijana msomi wa vitabu sana,wakati huo nilikuwa nasoma,nchi moja huko nje,nilikuwa naongea sana na wewe na hakika ulikuwa ni mtu mwenye maarifa makubwa sana.Kuna siku nikipata fursa ntaandika makala ndefu sana kuhusu wewe.Mungu akutunze
Weka picha yake ili nikuanini.
 
In Shaa Allah.
 
In Shaa Allah.
Mungu akutunze,marehemu hashim sagaf ambae baadae alikuja mbunge wa dodoma ndie alinitambilisha kwako,na kulikuwa na kijana mmoja alikuwa akifanya kazinya uandishi kwenye magazeti kadhaa yakiwemo ya kiislamu nadhani akiitea mahmoud alikuwa na madevu hivi na aliniomba wakati fulani.nimtambulishe kwa waandishi wa kenya,nikampa connection ya mohamed warsame tukafanya nae kazi sana,nakukumbuka sana mzee mwenzangu
 
Back
Top Bottom