Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tukivunjwa miguu utafaidika nini?Keybord worriour yakiitishwa maandamano hamtokei ila huku mmwajaa kujifanya wajasiri, Sikiliza kinacho upa upinzani. guvu Kenya sio viongozi wao bali ni Raia.
Tanzania naona tunategemea mtu na hapo ndio tunafeli mazima.
Ngoja tuoneHapo unadhani kuna tofauti gani na timu ya mpira ambayo possession yake ni 94% lakini ikapoteza pointi 3?
Chawa kazini.Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.
Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅
Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.
Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.
Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.
I hope Mama Tanzania is watching closely.
Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.
sure,Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.
Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅
Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.
Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.
Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.
I hope Mama Tanzania is watching closely.
Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.
Hao watoto wanaosema Lissu ni Rais labda wanao. Watoto wenye akili HAWEZI kusema hivyo!Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.
Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅
Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.
Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.
Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.
I hope Mama Tanzania is watching closely.
Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.
Karibu tena tuendelee mjadalaHao watoto wanaosema Lissu ni Rais labda wanao. Watoto wenye akili HAWEZI kusema hivyo!
Na atajua akina Tlaatlaa ndio akina Mdudesure,
atajua Lisu ni mwenyekiti wa mabwenyenye ya magharibi eneo la maziwa makuu na msaidizi wake ni Moise Katumbi wa DRC 🐒
HahahaChawa kazini.
Chawa kwenye moja mbili zake.
Mkuu hii siyo hali ya kawaida.Magazeti yote hadi gazeti la UHURU ni Lissu tu na Chadema daily! aloo si kawaida hii labda ndiye rais ajae 2025 maana sio kwa promo hizi, Labda system imemchagua awe mbadala wa sa100 kimya kimya.
Hahaha na enzi za ManaraKama ulipata muda wa kusikiliza tambo za Ali Kamwe na nahodha wa Yanga kijana Mwamnyeto ungeweza fikiri Yanga FC ni klabu kubwa Afrika nzima.
na vile vile atashangaa sana akimuona huyo Kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi alivyo dah 🐒Na atajua akina Tlaatlaa ndio akina Mdude
Atashangaa kwanimi Makonda siku hizi havumi.....juzi kaja na movie ya kugargaza diwani kwenye matope kesho yake akatoa conference ikabumana vile vile atashangaa sana akimuona huyo Kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi alivyo dah 🐒
Sema mtoto aliezaliwa leo4,Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.
Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅
Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.
Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.
Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.
I hope Mama Tanzania is watching closely.
Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.
Yaani huyo mgeni,Atashangaa kwanimi Makonda siku hizi havumi.....juzi kaja na movie ya kugargaza diwani kwenye matope kesho yake akatoa conference ikabuma