Mgeni akiingia Tanzania kwa sasa atajua Chadema ni Chama Tawala na Tundu Lissu ndiye Rais

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.

Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅

Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.

Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.

Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.

I hope Mama Tanzania is watching closely.

Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.
 
Keybord worriour yakiitishwa maandamano hamtokei ila huku mmwajaa kujifanya wajasiri, Sikiliza kinacho upa upinzani. guvu Kenya sio viongozi wao bali ni Raia.

Tanzania naona tunategemea mtu na hapo ndio tunafeli mazima.
 
Tukivunjwa miguu utafaidika nini?

Ccm sio watu.
 
Magazeti yote hadi gazeti la UHURU ni Lissu tu na Chadema daily! aloo si kawaida hii labda ndiye rais ajae 2025 maana sio kwa promo hizi, Labda system imemchagua awe mbadala wa sa100 kimya kimya.
 
Kama ulipata muda wa kusikiliza tambo za Ali Kamwe na nahodha wa Yanga kijana Mwamnyeto ungeweza fikiri Yanga FC ni klabu kubwa Afrika nzima.
 
Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.

Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅

Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.

Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.

Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.

I hope Mama Tanzania is watching closely.

Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.
Chawa kazini.
Chawa kwenye moja mbili zake.
 
sure,
atajua Lisu ni mwenyekiti wa mabwenyenye ya magharibi eneo la maziwa makuu na msaidizi wake ni Moise Katumbi wa DRC 🐒
 
Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.

Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅

Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.

Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.

Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.

I hope Mama Tanzania is watching closely.

Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.
Hao watoto wanaosema Lissu ni Rais labda wanao. Watoto wenye akili HAWEZI kusema hivyo!
 
Magazeti yote hadi gazeti la UHURU ni Lissu tu na Chadema daily! aloo si kawaida hii labda ndiye rais ajae 2025 maana sio kwa promo hizi, Labda system imemchagua awe mbadala wa sa100 kimya kimya.
Mkuu hii siyo hali ya kawaida.

Hata Uchaguzi Mkuu Uhuru wala TBc hazimtaji Lissu sijui imekuwaje leo
 
na vile vile atashangaa sana akimuona huyo Kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi alivyo dah 🐒
Atashangaa kwanimi Makonda siku hizi havumi.....juzi kaja na movie ya kugargaza diwani kwenye matope kesho yake akatoa conference ikabuma
 
Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.

Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅

Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.

Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.

Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.

I hope Mama Tanzania is watching closely.

Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.
Sema mtoto aliezaliwa leo4,
Tena mtaa wa ufipa.
Kwani Kuna mgeni Gani aendae popote bila kuwa na taarifa sahihi za huko aendako?
 
Atashangaa kwanimi Makonda siku hizi havumi.....juzi kaja na movie ya kugargaza diwani kwenye matope kesho yake akatoa conference ikabuma
Yaani huyo mgeni,
zaidi sana akikaa zaidi ya siku1 atagundua kumbe Kibaraka mwenyewe hana hata watu hususan wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema, ispokua ana bwekabweka tu mitandaoni 🐒
 
Back
Top Bottom