Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana.
Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅
Facebook, Twitter, Insta, Jamii Forums na Youtube Channels zote ni kuhusu Lissu tu.
Kampeni zote zina reflect namna ambavyo huyu Mwamba ameingia kwenye miyo yao na hivyo wanataka awe rais wa JMT hapo 2025.
Hakuna ubishi wala siri tena, kwenye Political and Leadership Figures hakuna anayemkaribia Tundu Lissu kwa sasa kutoka vyama vyote na asasi zote.
I hope Mama Tanzania is watching closely.
Rais ambaye hana madiwani na wabunge atatokea 2025.