Mgeni akija unampa nini..?

Mgeni akija unampa nini..?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unavyo cheka cheka mwenyewe kama umeokota kontena la makinikia [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Mpaka unanihamasisha niwe naku like chochote unachoandika yani. Acha hizo bana
 
Huwa nampa Mchele aanze kuchambua sitaki ugeni wake uzidi kipimo.
 
Nataka uniambukize kucheka huko tu, wala sihitaji unikopeshe hela nika bet mikeka [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Hata ukinikopa pesa unadhani ntakupa akhaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Labda sijaamua kufunga mkanda, nakwambia utatoa, kama huna utaenda kukopa hata kwenye VICOBA [emoji18]

Ukarimu na Huruma ni moja ya silaha zangu za maangamizi aisee jakito. Nakuhusia na kuihusia nafsi yangu [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Labda sijaamua kufunga mkanda, nakwambia utatoa, kama huna utaenda kukopa hata kwenye VICOBA [emoji18]

Ukarimu na Huruma ni moja ya silaha zangu za maangamizi aisee jakito. Nakuhusia na kuihusia nafsi yangu [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimekuelewa alex [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Bahati yako umenisoma, nlikua nasubiri useme suuuu, nikupe swagga matata [emoji23] [emoji23] [emoji23]

I was about to get up my burner and an attitude, the scafle was about to begging [emoji18]
 
Mie siogo mbishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inategemea kafika SAA ngapi. Ila akifika lazima apewe kati ya hivi.

Chai
Juice/ soda kama anatumia
Chakula.
Story.
 
Back
Top Bottom