FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Pole!.. Nenda hospital kwa uchunguzi zaidi.
Mauvivu huwa yanaandamana na kivimbe/uvimbe sehemu ya juu kidogo ya uume, ambao unaweza kuja na kuondoka? Mara nyingi Ngiri/Hernia huwa hivyo, japo si lazima itokee kila wakati/baada ya tendo la ndoa. Unahitaji kwenda muona Daktari kwa ushauri zaidi, muhimu zaidi umuone wakati una hayo maumivu ili aweze kukuchunguza vizuri uwepo/kutokuwepo kwa kivimbe.
Maumivu yakizidi nione 😛lane:
Mimi ni men nina tatzo kubwa sana mdudu wangu akisimama kwa muda mrefu sana inaweza nikawa na mwanamke hiyo siku basi natokea na matatizo ya sehemu ya juu kuuma kama nina ngiri sijui ni tatzo gani but hutokea kila mara nikiwa na mwanamke tukiwa tunachezeaneana tukimaliza mambo tu'ndo shida inaanza hapo huo ugonjwa wa kama ngiri unakuja hapo'baada ya siku mbili mambo yanarudi normal
Riwa if i may ask are you a doctor?Mauvivu huwa yanaandamana na kivimbe/uvimbe sehemu ya juu kidogo ya uume, ambao unaweza kuja na kuondoka? Mara nyingi Ngiri/Hernia huwa hivyo, japo si lazima itokee kila wakati/baada ya tendo la ndoa. Unahitaji kwenda muona Daktari kwa ushauri zaidi, muhimu zaidi umuone wakati una hayo maumivu ili aweze kukuchunguza vizuri uwepo/kutokuwepo kwa kivimbe.
Pole mkuu jaribu kwenda hosptal uonane na mtaalam wa magonjwa hayo
kuna jamaa alileta malalamiko kama hayo lakini nakumbuka alisema kuwa alikuwa anapiga sana masterbution enzi zake za ujana,sasa vp na wewe hako kamchezo umekuwa ukifanya
im an ordinary one did my answer satsfied youriwa if i may ask are you a doctor?
Ukikutana nae mpige kimoja cha haraka kwanza,unakuwa na hamu sana na kudinda kwa muda mrefu kutakuletea matatizo.Mimi ni men nina tatzo kubwa sana mdudu wangu akisimama kwa muda mrefu sana inaweza nikawa na mwanamke hiyo siku basi natokea na matatizo ya sehemu ya juu kuuma kama nina ngiri sijui ni tatzo gani but hutokea kila mara nikiwa na mwanamke tukiwa tunachezeaneana tukimaliza mambo tu'ndo shida inaanza hapo huo ugonjwa wa kama ngiri unakuja hapo'baada ya siku mbili mambo yanarudi normal
Pole!.. Nenda hospital kwa uchunguzi zaidi.