Mgeni humu naomba msaada wenu

Mgeni humu naomba msaada wenu

FredKavishe

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,090
Reaction score
318
Mimi ni men nina tatzo kubwa sana mdudu wangu akisimama kwa muda mrefu sana inaweza nikawa na mwanamke hiyo siku basi natokea na matatizo ya sehemu ya juu kuuma kama nina ngiri sijui ni tatzo gani but hutokea kila mara nikiwa na mwanamke tukiwa tunachezeaneana tukimaliza mambo tu'ndo shida inaanza hapo huo ugonjwa wa kama ngiri unakuja hapo'baada ya siku mbili mambo yanarudi normal
 
Mauvivu huwa yanaandamana na kivimbe/uvimbe sehemu ya juu kidogo ya uume, ambao unaweza kuja na kuondoka? Mara nyingi Ngiri/Hernia huwa hivyo, japo si lazima itokee kila wakati/baada ya tendo la ndoa. Unahitaji kwenda muona Daktari kwa ushauri zaidi, muhimu zaidi umuone wakati una hayo maumivu ili aweze kukuchunguza vizuri uwepo/kutokuwepo kwa kivimbe.
 
Pole sana. Niko Samunge, vipi nikuletee kikombe?
 
Mauvivu huwa yanaandamana na kivimbe/uvimbe sehemu ya juu kidogo ya uume, ambao unaweza kuja na kuondoka? Mara nyingi Ngiri/Hernia huwa hivyo, japo si lazima itokee kila wakati/baada ya tendo la ndoa. Unahitaji kwenda muona Daktari kwa ushauri zaidi, muhimu zaidi umuone wakati una hayo maumivu ili aweze kukuchunguza vizuri uwepo/kutokuwepo kwa kivimbe.

mkuu kunakuwa hakuna uvimbe
 
Pole mkuu jaribu kwenda hosptal uonane na mtaalam wa magonjwa hayo
kuna jamaa alileta malalamiko kama hayo lakini nakumbuka alisema kuwa alikuwa anapiga sana masterbution enzi zake za ujana,sasa vp na wewe hako kamchezo umekuwa ukifanya
 
Mimi ni men nina tatzo kubwa sana mdudu wangu akisimama kwa muda mrefu sana inaweza nikawa na mwanamke hiyo siku basi natokea na matatizo ya sehemu ya juu kuuma kama nina ngiri sijui ni tatzo gani but hutokea kila mara nikiwa na mwanamke tukiwa tunachezeaneana tukimaliza mambo tu'ndo shida inaanza hapo huo ugonjwa wa kama ngiri unakuja hapo'baada ya siku mbili mambo yanarudi normal

Mkuu nadhani hilo tatizo ni la kawaida...labda kama hujaonana na mwanamke kwa mda fulani siku ukikutanana nae na hamu zote unakula mpaka basi lakini baada ya masaa kazaa au siku ya pili kuna kuwaga na maumivu kama hayo na kama ulivyosema baada ya siku 2 yanapotea so ni maumivu ya kawaida hayana tatizo kabisa na hamna haja ya kwenda kwa doctor....zaidi banjua kila siku hautaona hayo maumivu....nadhani huwa yanatokea kama hujafanya kwa mda fulani siku ukifanya basi hali ndio inakuwa hivyo!!
 
Nimekusoma pole,ila hujawa wazi vyakutosha .uvimbe na maumivu yanatokea kwenye kichwa cha silaha au nyuma ya silaha inapoanzia.kama ni kwenye kichwa hiyo yatokana na aina yako ya mashambulizi kwa adui ,au adui kama ni huyo huyo basi hulainishi kwake kwanza.hakikisha kumwandaa mpaka vyura walie nawe ukiingia bahari haijakupwa na mcezo uwe si kutwanga bali kona ,kati ,pembeni kwa ulaini.vinginevyo unapata michubuko kwa yoyote, kwa wote au mmjoja tu.karibu
 
Mauvivu huwa yanaandamana na kivimbe/uvimbe sehemu ya juu kidogo ya uume, ambao unaweza kuja na kuondoka? Mara nyingi Ngiri/Hernia huwa hivyo, japo si lazima itokee kila wakati/baada ya tendo la ndoa. Unahitaji kwenda muona Daktari kwa ushauri zaidi, muhimu zaidi umuone wakati una hayo maumivu ili aweze kukuchunguza vizuri uwepo/kutokuwepo kwa kivimbe.
Riwa if i may ask are you a doctor?
 
Pole mkuu jaribu kwenda hosptal uonane na mtaalam wa magonjwa hayo
kuna jamaa alileta malalamiko kama hayo lakini nakumbuka alisema kuwa alikuwa anapiga sana masterbution enzi zake za ujana,sasa vp na wewe hako kamchezo umekuwa ukifanya

hapana mkubwa sina hako kamchezo
 
Mimi ni men nina tatzo kubwa sana mdudu wangu akisimama kwa muda mrefu sana inaweza nikawa na mwanamke hiyo siku basi natokea na matatizo ya sehemu ya juu kuuma kama nina ngiri sijui ni tatzo gani but hutokea kila mara nikiwa na mwanamke tukiwa tunachezeaneana tukimaliza mambo tu'ndo shida inaanza hapo huo ugonjwa wa kama ngiri unakuja hapo'baada ya siku mbili mambo yanarudi normal
Ukikutana nae mpige kimoja cha haraka kwanza,unakuwa na hamu sana na kudinda kwa muda mrefu kutakuletea matatizo.
 
Back
Top Bottom