Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
karibu PM pako waziKwavile umeiomba wewe, sina budi niitupie pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu PM pako waziKwavile umeiomba wewe, sina budi niitupie pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf banakaribu PM pako wazi
vipi mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf bana
sawa[emoji6] [emoji6] , Asante
Poa tuvipi mkuu
mbona umecheka nilivyomkaribisha bibie PMPoa tu
Naona unatumia fursa vyemambona umecheka nilivyomkaribisha bibie PM
fursa itumike pale inapopatikana kwa sababu ni adimuNaona unatumia fursa vyema
you are rightNaona watu wanatumia fursa,angesema yeye me wasingemkaribisha hivi
Mmh!!Karibu first year ,unasoma chuo gani?
Karibu mno. Mimi mla panya swanga nasema karibu lakini usiwe na hasira hiki ni chuo kikuu kisicho rasmi.Habari ndugu zangu, poleni na mihangaiko ya siku.
Ni muda mrefu nimekuwa nikisoma michango yenu kupitia majukwaa mbalimbali, nimekuwa nikijifunza kupitia elimu muitoayo, nimekuwa nikifurahi pia kwa mabandiko mbalimbali yanayofurahisha.
Hivyo nikavutiwa nami nijiunge rasmi ili tuelimishane na kufurahi pamoja.
Naombeni ushirikiano wenu.
karibu pm kwangu pia mgeni[emoji120][emoji120][emoji120]