Mgeni Jf, naombeni ushirikiano wenu.

Mgeni Jf, naombeni ushirikiano wenu.

Habari ndugu zangu, poleni na mihangaiko ya siku.
Ni muda mrefu nimekuwa nikisoma michango yenu kupitia majukwaa mbalimbali, nimekuwa nikijifunza kupitia elimu muitoayo, nimekuwa nikifurahi pia kwa mabandiko mbalimbali yanayofurahisha.
Hivyo nikavutiwa nami nijiunge rasmi ili tuelimishane na kufurahi pamoja.
Naombeni ushirikiano wenu.
Karibu mno. Mimi mla panya swanga nasema karibu lakini usiwe na hasira hiki ni chuo kikuu kisicho rasmi.
 
Back
Top Bottom