Mgeni katk mtandao wa jamii forum

Mgeni katk mtandao wa jamii forum

Joined
Apr 20, 2015
Posts
19
Reaction score
4
Samahn wakuu ni baada ya kuperuzi mada mbalimbali zilizom katk jamii forum nikaona bora nami nijiunge na kuwa memba wa huu mtandao ili niweze kupanua ubongo Wang ktk uwelewa wa mambo mbalmbal
 
Nakuomba Tu Uwe Mvumilivu Humu Kwani TUMECHANGANYIKANA! Na Nakushauri Hata Kabla Hujapost Kitu Kwanza Uwe Unaniandikia Mimi Nakihariri Kisha Nakuruhusu Upost Na Kubali Mimi Ndiyo Niwe Mwenyeji Wako Mkuu Humu JF Na Kamwe Usifanye Lolote Lile Bila Kunishirikisha Na Usimshirikishe Yoyote Shida Zako Na Siri Zako Zaidi Ya Mimi. Na Hata Kama Utakuwa Unamtaka Demu Na Huwezi Kumtongoza au Kumwingia Uwe Unanitumia Tu Mimi Kwanza Namba Yake Ya Simu ILI Nikutongozee Vizuri Na Akikubali Tu Nitakuwa Nakujulisha Na Mengineyo Mengi Tu Sawa Rafiki Mgeni? Usipokuwa Rafiki Na GENTAMYCINE Utakuwa Umepoteza Problem Solver Wako. Otherwise Karibu Sana Mkuu!
 
Karibu sana mgeni
Ndugu Faraji hassan
Manake jukwaa/Forum hii
Ni mujarab kwa waitafutao elimu.
Iwapo utahitaji kupanua kitu kingine chochote tafadhali usisite kutufahamisha.
Pia unakaribishwa PM.
Karibu sana.
 
Nakuomba Tu Uwe Mvumilivu Humu Kwani TUMECHANGANYIKANA! Na Nakushauri Hata Kabla Hujapost Kitu Kwanza Uwe Unaniandikia Mimi Nakihariri Kisha Nakuruhusu Upost Na Kubali Mimi Ndiyo Niwe Mwenyeji Wako Mkuu Humu JF Na Kamwe Usifanye Lolote Lile Bila Kunishirikisha Na Usimshirikishe Yoyote Shida Zako Na Siri Zako Zaidi Ya Mimi. Na Hata Kama Utakuwa Unamtaka Demu Na Huwezi Kumtongoza au Kumwingia Uwe Unanitumia Tu Mimi Kwanza Namba Yake Ya Simu ILI Nikutongozee Vizuri Na Akikubali Tu Nitakuwa Nakujulisha Na Mengineyo Mengi Tu Sawa Rafiki Mgeni? Usipokuwa Rafiki Na GENTAMYCINE Utakuwa Umepoteza Problem Solver Wako. Otherwise Karibu Sana Mkuu!

Wa2 kama Haw watatufany tuuhame huu mtandao bila kutmiza hat WK man ana haruf ya utaper
 
Kwani Ulipoingia Humu Ulitutaarifu? Kwani Ukihama Wewe Jamvi Litakufa? Jamvi Tumelikuta Na Tutaliacha Hivyo Acha USHAMBA Wewe KJ!
 
Yatzo lenu went wa tz mmekaaliya kuwaza ngono na ulimbken nan kakwambia anashda na demu
 
Wa2 kama Haw watatufany tuuhame huu mtandao bila kutmiza hat WK man ana haruf ya utaper

naomba nikukaribishe humu JF ila angalia lugha unayo tumia humu sio sawa na FB au uko kwingine hivyo jifunze kuandika vizur nawe utaishi vizurii
 
Wa2 kama Haw watatufany tuuhame huu mtandao bila kutmiza hat WK man ana haruf ya utaper

Ebwana mgeni humu hatuandiki ki-fesibuku so uandishi wako ni moja ya vitu unavyopaswa kuzingatia mambo ya xaxa xule xixi na ktk wakt hatuitaji huku
 
Samahn wakuu ni baada ya kuperuzi mada mbalimbali zilizom katk jamii forum nikaona bora nami nijiunge na kuwa memba wa huu mtandao ili niweze kupanua ubongo Wang ktk uwelewa wa mambo mbalmbal

Hawa watu usipende kuwa taarifu maana wamo wasumbufu na wazalendo.
 
Samahn wakuu ni baada ya kuperuzi mada mbalimbali zilizom katk jamii forum nikaona bora nami nijiunge na kuwa memba wa huu mtandao ili niweze kupanua ubongo Wang ktk uwelewa wa mambo mbalmbal

Unakaribishwa pia kwenye kambi ya Lowassa...
 
Nakuomba Tu Uwe Mvumilivu Humu Kwani TUMECHANGANYIKANA! Na Nakushauri Hata Kabla Hujapost Kitu Kwanza Uwe Unaniandikia Mimi Nakihariri Kisha Nakuruhusu Upost Na Kubali Mimi Ndiyo Niwe Mwenyeji Wako Mkuu Humu JF Na Kamwe Usifanye Lolote Lile Bila Kunishirikisha Na Usimshirikishe Yoyote Shida Zako Na Siri Zako Zaidi Ya Mimi. Na Hata Kama Utakuwa Unamtaka Demu Na Huwezi Kumtongoza au Kumwingia Uwe Unanitumia Tu Mimi Kwanza Namba Yake Ya Simu ILI Nikutongozee Vizuri Na Akikubali Tu Nitakuwa Nakujulisha Na Mengineyo Mengi Tu Sawa Rafiki Mgeni? Usipokuwa Rafiki Na GENTAMYCINE Utakuwa Umepoteza Problem Solver Wako. Otherwise Karibu Sana Mkuu!
hq a ha ha ha shemeji mbaya wewe
 
karibu mgeni aisee ninakusanyaga kila mwezi buku 10, kama ibdani ni iyari kunichangia
 
Back
Top Bottom