MGENI. MGENI. MGENI.

MGENI. MGENI. MGENI.

Karibu.ila umechelewa manake sericcm ipo mbioni kufunga mitambo yetu
 
hilo jina, utalaniwa buree, maana CIE wengne tukiliona hilo jina tunasema, laghanatllah
 
Haijalishi una umri gani huku hekima na busara / ujasiri na ukatili unahitajika. Ila sio matusi wala kejeli •KARIBU NDANI HADI SEBULENI ila umekuja kipindi kibaya.,!
 
Hiyo avata uliyokuja nayo upokeleki "filauni"
 
Firauni nyakati hizi? Haya bana

Picha yako inaonyesha we we ni MTU ukiyekufa siku nyingi uko kaburini

Haijalishi una umri gani huku hekima na busara / ujasiri na ukatili unahitajika. Ila sio matusi wala kejeli •KARIBU NDANI HADI SEBULENI ila umekuja kipindi kibaya.,!

Hiyo avata uliyokuja nayo upokeleki "filauni"

Kwa hilo jina jipokee mwenyweeeee
AHSANTENI NYOTE MLIONIPOKEA ...
FIRAUNI bin daus
 
Wewe jamaa noma sana eti Firauni dahh kweli majanga sikupokei.
 
Back
Top Bottom