Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]uwe unaangalia na jina la kujiita.. fun base ya waelewa utaipata kwa shiiida
Kwanini jamani
Picha yako inaonyesha we we ni MTU ukiyekufa siku nyingi uko kaburiniSina mengi naomba mnipokee
Karibu.ila umechelewa manake sericcm ipo mbioni kufunga mitambo yetu
hilo jina, utalaniwa buree, maana CIE wengne tukiliona hilo jina tunasema, laghanatllah
Firauni nyakati hizi? Haya bana
Picha yako inaonyesha we we ni MTU ukiyekufa siku nyingi uko kaburini
Haijalishi una umri gani huku hekima na busara / ujasiri na ukatili unahitajika. Ila sio matusi wala kejeli •KARIBU NDANI HADI SEBULENI ila umekuja kipindi kibaya.,!
Hiyo avata uliyokuja nayo upokeleki "filauni"
AHSANTENI NYOTE MLIONIPOKEA ...Kwa hilo jina jipokee mwenyweeeee