LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Leo tuzungumze kidogo kuhusu chakula hasa kwa wageni wanao tutembelea iwe kwa shida ama kwa raha,
Kuna nyumba zingine ukizitembelea haumalizi wiki unachoka kukaa
Sababu ni wenyeji wako kutokujali muda wa kula au ni kama umeshiba au lah! Hauulizwi kabisa
Au wanapika chakula ambacho wewe hujazoea kukitumia
Nakumbuka mwaka Jana nilienda kufanya kazi ya wring sehemu, nilianza kazi asubuhi saa mbili nipo juu ya dalii lakini mpaka saa 8 tumboni ni empty ile kazi nilitaka isilale lakini ilibidi niilaze tu.
Na baada ya kufunga kazi ndo nikaona wanatenga msosi ilibidi tu nile ili nipatie nguvu za kunifikisha nyumbani,
Ushauri wangu unapokuwa na mgeni nyumbani kwako hakikisha au jitahidi awe anashiba na kula kwa wakati pia,
Hata msibani pia kama unajua Kuna wageni wa kutoka mbali hakikisha unawajali kuhusu chakula sio mpaka mazishi saa 10 huko.