Mgeni na chakula Mambo ya kuzingatia

Mgeni na chakula Mambo ya kuzingatia

manyanyaso mnayataka wenyewe ukienda sehem beba hela zako babuu, hukushiba zama migahawani ukajazie ukitaka ule ushibe beba debe la unga, mchele utapendwa sanaa nautakula utashiba halaf mkute ndio nyie mnakula sana ugenini kazi hamfanyi
 
Vipi kama ametoka kwake asubuhi sana na maeneo anapofanyia kazi hakuna mgahawa ?
Nikitazama kwa mbaali naona yupo sahihi, watanzania ni utaratibu wetu kulisha wageni hata kama umemlipa afanye hiyo kazi. Lakini pia hao wenyeji wake labda walikuwa busy hakuna muda wa kupika

Inategemea na makubaliano yao.
Dar huwezi kufananisha na mikoani, town watu unga wanapima kwa Mangi.
Na sio kila sehemu watu wote watakuwazia tumbo lako
 
Back
Top Bottom