Vipi kama ametoka kwake asubuhi sana na maeneo anapofanyia kazi hakuna mgahawa ?
Nikitazama kwa mbaali naona yupo sahihi, watanzania ni utaratibu wetu kulisha wageni hata kama umemlipa afanye hiyo kazi. Lakini pia hao wenyeji wake labda walikuwa busy hakuna muda wa kupika