Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Yaani wewe na hii kauli yako kila siku[emoji41]Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Umenikumbusha mwalimu wangu mmoja wa o'level hakuwahi kubadili nguo zake nyekundu. Tukamtungia jina tukamuita In Red