Mgeni nimefika, naomba mnipokee

Mgeni nimefika, naomba mnipokee

Yaani wewe na hii kauli yako kila siku[emoji41]

Umenikumbusha mwalimu wangu mmoja wa o'level hakuwahi kubadili nguo zake nyekundu. Tukamtungia jina tukamuita In Red
Mimi ndo babu lao nibadili mi ni nani mbele za wajukuu?
 
Back
Top Bottom