Arya Stark
Senior Member
- Dec 1, 2025
- 147
- 253
KaribuGuys, guys, Guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia.
Kama kuna kitu natakiwa kukijua basi nifahamisheni.
Kunihusu:
Jinsia - KE
Makazi - Pwani
Kazi - Winga
Umri - Gen Z
Mahusiano - Hayaeleweki bado
Mtoto - Sina
Asante ila hiyo nguo yako ina nini? mbona kama haiko sawa?Warid karibu magetoni...View attachment 3510191
Inshallah πAll will be, tutakuepo InshaAllah
Mbona haraka sana hata hatujaenda kwenye date tukafahamiana?Hapo kwenye mahusiano, millenial niko hapa mtoto mzuri, naomba niende kwenu kutoa mahari uwe wangu rasmiπππ
ThanksKaribu
Asante nakaribiaKaribu Gen Z mwenzangu
TISS ndiyo kimdudu gani hiko?Sawa TISS utawadaka wengi tu humu π
Unaidharau taasisi yenu kwa kuiita kimdudu aisee π πTISS ndiyo kimdudu gani hiko?
Unaidharau taasisi yenu kwa kuiita kimdudu aisee π π
Mmmh PPS5 ndiyo nini?Waridi....
Tuma pps 5, ukimaliza njoo pm nikuunge grp la wakubwa! Ahsante
Nakushukuru sana kiongozi!Karibu sana mkuu
Picha 5....passport ukikosa tuma full picture