Mgeni nipokeeni - Nimejiunga rasmi sababu ya D9 na hotuba ya Samia

Mgeni nipokeeni - Nimejiunga rasmi sababu ya D9 na hotuba ya Samia

Ndiyo shida ya nyie gen z, mnataka m-date kwanza, mkulane kwanza, ndipo muone kama huyu jamaa amekamilika angle zote😎

Sisi Millenials na kurudi nyuma tunaamini ktk Objectivity, hatujaribujaribu tunafanya.

Date tutaenda tukiwa na lengo kuu moja mtoto mzuri😘
Ndiyo twende date kwanza, tujuane, tu have fun.
Nyie millenials mnaenda date kwa lengo kuu lipi?
 
FB_IMG_17643611410367747.jpg
 
Guys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia.

Kama kuna kitu natakiwa kukijua basi nifahamisheni.

Kunihusu:
Jinsia - KE
Makazi - Pwani
Kazi - Winga
Umri - Gen Z
Mahusiano - Hayaeleweki bado
Mtoto - Sina
Ungesubiria akaunti yako irudi kufungua akaunti mpya haisaidii
 
Back
Top Bottom