Mgeni nipokeeni - Nimejiunga rasmi sababu ya D9 na hotuba ya Samia

Mbona haraka sana hata hatujaenda kwenye date tukafahamiana?
Ndiyo shida ya nyie gen z, mnataka m-date kwanza, mkulane kwanza, ndipo muone kama huyu jamaa amekamilika angle zote😎

Sisi Millenials na kurudi nyuma tunaamini ktk Objectivity, hatujaribujaribu tunafanya.

Date tutaenda tukiwa na lengo kuu moja mtoto mzuri😘
 
Nami ndio natika Nkasi tarehe 3 tutakuwa pamoja
 
Kikubwaa hapa 9D jiandae kutokaa

Na usiogope hawa ,maana hii nchi tukikosea tuu kuwapa hawa ,kizazi chetu hakitakuta hata ituu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…