Arya Stark
Senior Member
- Dec 1, 2025
- 147
- 253
- Thread starter
-
- #41
Ndiyo twende date kwanza, tujuane, tu have fun.Ndiyo shida ya nyie gen z, mnataka m-date kwanza, mkulane kwanza, ndipo muone kama huyu jamaa amekamilika angle zote😎
Sisi Millenials na kurudi nyuma tunaamini ktk Objectivity, hatujaribujaribu tunafanya.
Date tutaenda tukiwa na lengo kuu moja mtoto mzuri😘
Nikaribie wapi?Karibu
Sawa karibu Kibaha tukiamshe D9Nami ndio natika Nkasi tarehe 3 tutakuwa pamoja
Nimeshajiandaa, niko ready ✊Kikubwaa hapa 9D jiandae kutokaa
Na usiogope hawa ,maana hii nchi tukikosea tuu kuwapa hawa ,kizazi chetu hakitakuta hata ituu
Haya nakuja pm, ili D9 itukute tumejifungia😋Ndiyo twende date kwanza, tujuane, tu have fun.
Nyie millenials mnaenda date kwa lengo kuu lipi?
Utegue 😜Mbona kama mtego huu...
Tumejifungia wapi? kwani we hutoki?Haya nakuja pm, ili D9 itukute tumejifungia😋
Na wewe ni mwanafamilia ya wanamtandao?
Tumefunga nashiri zetu, kutoka ni pie.Tumejifungia wapi? kwani we hutoki?
Hebu fungua pm basiiNa wewe ni mwanafamilia ya wanamtandao?
Sina ila hata kama ningekua nayo unafikiri ningekutajia hapa?ID yako kongwe ni ipi?
Mbona iko wazi?Hebu fungua pm basii
Ungesubiria akaunti yako irudi kufungua akaunti mpya haisaidiiGuys, guys, guys habarini, niko JF muda mrefu kama guest ila D9 na hotuba ya kesho ya chimama imenisukuma kufungua akaunti ili niweze kufuatilia mubashara na kuchangia.
Kama kuna kitu natakiwa kukijua basi nifahamisheni.
Kunihusu:
Jinsia - KE
Makazi - Pwani
Kazi - Winga
Umri - Gen Z
Mahusiano - Hayaeleweki bado
Mtoto - Sina
Sijui unaongelea nini, ila hilo linguo lako la kijani kwenye ID linaonyesha huna akili!Ungesubiria akaunti yako irudi kufungua akaunti mpya haisaidii
Ni mwanamke? au ni wale wanaume wanaokazwa na mtoto wa chimama?Huyu ni mchepuko wa Abduli
Sasampa hana ila ina papa